Mbogo_beichee
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 224
- 608
AISEE NGOJA NA MIM NISEME KIDOGO.
Kwanza kabisa naweza kusema kwa uwazi kabisa kuwa YES, Bikira inaweza ikawa chanzo kikubwa kabisa mahusiano kudumu.
Kwanini nasema hivyo,
1. Binti ambae mpaka unakuja kumuoa ni bikira anakuwa na mfumo wa akili ya kujitunza, yaani mfano umemuoa ana miaka 25 let say. This means that kwa miaka takribani 10+ amekuwa akiona huo "utandawazi" lakini bado kawa muaminifu kwenye mwili wake, hakujiachia mpaka kumpa mtu mwingine akauharibu, hii inaonesha dhahiri hata anapokua ndani ya ndoa ni rahisi kuendelea kutunza heshima yake na zaidi kumtunzia mume wake wa muda huo.
2. Kingine kwa mwanamke bikira, tunasema anakua hana idea ya maumbile tofauti na mume wake, hii imekaaje.
Chukulia mfano mwanamke ambae toka ujana wake ameshaonja maumbile tofauti tofauti, nchi 4, 5, 6 mpaka 7, sasa huyu mwanamke, anakua na hamu ya mapenzi kutokana na maumbile ambayo yameshawai kumkuna zaidi,
Hivyo kama mume nichukulie mfano akawa na maumbile ambayo sio makubwa au ya utundu kama ambayo ameshawai kuyatumia, hupelekea kutopata haki yake stahiki, maana kichwani anajua kuna mashine bora au kubwa zaidi ya hii anayokutana nayo kwenye ndoa.
Hivi hujiulizi kwanin wanaume sasa hivi wanatafuta sana njia au dawa za kuongeza maumbile yao, sabab moja wapo ni kuwaridhisha hawa wanawake ambao maumbile yao yameshakuwa makubwa kwa kutumika sana, ama kutumia mashine ambazo ni kubwa zaidi.
3. Ndio naelewa utandawazi umekuwa chanzo kikubwa kwa maadili kuvunjika ama wanandoa kutotulia na ndoa moja, ila tuongelee psychologically, its believed mwili au akili ya binadamu ikizoea kufanya kitu flani kwa muda wa zaidi ya mwaka au nusu mwaka, inakuwa ni tabia halisi kabisa. Sasa njoo kwa binti ambae to anabalehe ameshajizoesha kukwepa vishawishi vya wanaume na utandawazi kwa ujumla, unafikiri akiingia kwenye ndoa ndio tabia itabadilika?
Lakini vip kwa binti ambae ameshazoe ku-give in kwenye changamoto ambazo anakutanazo za wanaume na utandawazi, vip akifika kwenye ndoa unafikiri atakuwa anajizuia sana?
4. Kwanin swala la ubikira wa binti unakua point sana kwenye swala la ndoa, ni kwasabab ukichunguza ndoa nyingi huvunjika au kuyumba kwa tatizo kuu la unyumba,
Sasa hapa kuna mengine yanafata pia kwa upande wa pili, kuna kiburi, kuna hekima, kuna matunzo na kulelewa, hivyo bikira pekee haifanyi ndoa yako idumu muda mrefu, vipi ukiwa na bikira halafu sio mtiiifu, hujipendi, una kiburi, mchafu, mvivu n.k,
So niseme tuu bikira inatoa nafasi kubwa kwa mwanamke kuaminika ndani ya jamii na kwa mume wake, kwa upande wa unyumba ndio rahisi zaidi kwa kuwa mwanaume anakua na uhakika mke wake kutokutumika kabla. Ila vipi kuhusu maswala mengine ya kijamii kama, uchumi, imani na mapokeo.
Niishie kusema bikira sio kigezo kikuu cha ndoa kudumu, bali ni yale ambayo mwanamke na mwanaume wanapaswa kuwa nayo yakiwa yamefundishwa na kufanywa inavopaswa, ikiwepo na bikira yenyewe.