Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

kuoa au kutokuoa mwanamke bikra siyo ishu tena karne hii mpya ya ma_YEBEBEE. wengi wenye kuumia na hili suala ni wale ambao hawajahi kumbikiri mwanamke yeyote maishani mwao. ukimtoa bikra binti hata usipomuoa, nawe ukaoa asiye nayo wala haiumi kabisa.
Nimeoa BIKRA kwahiyo kama unaona unaumizwa na huu nyuzi JITAFAKARI SANA
 
Sio kîla mnyama ni Simba
Kûna fisi Pia
So Huwezi kumkataza fisi asile used Wakati NI Asili Yake.

Wewe kama utaoa Bikra oa waachie wapendao Vitu used. Hiyo ndîo ecosystem
 
Wanaume wengi naweza sema 98% wanapenda kuoa wanawake bikra.

Changamoto inakuja kuzipata hizo bikra.

Nyingi uwa zinatolewa kwenye umri mdogo kiasi kwamba wakifika umri wa kuolewa unakuta mambo si mambo hakuna kitu.

All in all maisha lazima yaendelee.
 
Hapo ni sawa na kusema watu wasioe kabisa. Tatizo kijana hujiamini kitu ambacho ni hitilafu kubwa mno kwa mwanaume. Mambo ya chumbani na ya kuyaacha chumbani. Mtu kama wewe mropokaji bado hujakamilika kiume.
 
Nakula sana mademu ndio nawaachia mabwege kama wewe mle takataka used, hadi sasa nishazindua bikra 8
Zindua unavyoweza ila kuna siku na yakO Itazinduliwa tena Naomba nikufumanie na mwanangu anaesoma naizindua hiyo bikra ya chemba uku ukikatika kiuno kama fally Ipupa Mtu yoyote anaetenda dhambi akajisifu huwa hapaswi kuonewa huruma NarudiA ipo siku Bikra yako ya manyu Itamiminwa.
 
Kusubiri bikra ndiyo uoe ni sawa na kusubiri kivuko cha MV Magogoni Stand ya Magufuli kule Mbezi.
 
Zindua unavyoweza ila kuna siku na yakO Itazinduliwa tena Naomba nikufumanie na mwanangu anaesoma naizindua hiyo bikra ya chemba uku ukikatika kiuno kama fally Ipupa Mtu yoyote anaetenda dhambi akajisifu huwa hapaswi kuonewa huruma NarudiA ipo siku Bikra yako ya manyu Itamiminwa.
Kenge wewe mimi sijazindua popote mikwara tu, ila kama una mtoto bikra nipe nimuoe
 
Itoshe kusema humu wahanga wa kula mizoga a.k.a fisi ni wengi sana maana haiingii akilini mtu kutokwa matusi na kashfa zote kisa kaambiwa ukweli bikra ndo HESHIMA ya mwanamke na UFAHARI kwa mwanaume.

Wanaosema ni ngumu kuzipata bikra hao ni wavivu na wavivu siku zote hula makombo. Tafuta bikra na bikra sio nyepesi hivyo kuitoa na hapo ndo inapopatikana ugumu wa kuipata na kuitoa kwa majitu mavivu yasiyopenda kufanya kazi🤗🤗🤗

Wanaume wavivu hupenda kitonga hivyo hutafuta wanawake mtumba kukidhi haja zao.

Kwa wale wanaosingizia mara ujue unadada au mashangazi sijui mamdogo mara na ww utakuja kuwa na watoto😂😂😂😂,,,,kaeni kwa kutulia wembe ndo unakata hivyo hakuna namna kama mwanamke huna bikra ww ni mtumba na kama mwanaume umeoa mtumba ww ni mvivu na utachapiwa tu!!!!

###kwa wale wanaotukana waendelee lakini unavyotukana ujue unatufikirisha sisi tuanze kuhisi ukweli umekuuma🤗😁na ww ni muhanga wa BIKRA!!!!
 
Sasa si uchukue mmoja wapo uoe, si ndo unasema huwezi kuoa asiye bikra, hao hao uliowaharibu ndo uoe, mmoja wapo, usiendelee kuharibu wengine, tuachie na sisi, mabikra tunawahitaji pia, na kama unamjua mmoja wapo niunganishe nae, sijawahi kumbahatisha Bikra hata mmoja.
 
Subiri niifute hiyo comment, mimi sina tabia za kuziharibu bikra, ila niamini bikra zipo nyingi tu
 
Unaweza kuoa bikra na baada ya hapo wahauni wakaendelea kula. Oa mwenye tabia njema, bikra au bikra sii jambo la msingi
 
Back
Top Bottom