Ndoa hewa zimeshika kasi sana kwa Wakristo. Ndoa inafungwa na baada ya wiki moja mume anaishi mkoa mwingine na mke mkoa mwingine


 
Ni swala la uelewa tu, uelewa na mazingira ndiyo hupelekea mwingine atafute matairi na kuchongesha makatambuka yasiishe mapema, mwingine kulazimika kutafuta usafiri.
Kama huna access na maji utaishia kujenga choo cha shimo.
Kuna watu ukiwaambia kuhusu mafuta wao akili zao huwaza mafuta ya kupakaa na ya kupikia, wakati wengine akili huenda kwenye mafuta ya gari.
 
Hizo ndoa ndo zilikuwa za zamani sana. Zina faida kubwa sana Wamasai mpk leo wanaendeleza. Wao wapo mjini, wanawake anaangalia maboma. Wachagga nao utamaduni uo ulikuwepo. Mke anaachwa migombani, mume anakuja mjini kutafuta maisha. Utandawazi wa kubanana banana umeharibu sana. Watu mnazoeana mwishoni mnachukuliana pouwa. Ndoa za mbali zinadumu sana. Asilimia kubwa ya ndoa zinazototoboa miaka mingi nature yake ndo hii za kuishi mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…