- Thread starter
- #61
Kama unaweza basi dance to the tune, ndoa ni commitments ndoa so wanandoa wataziishi kulingana na malengo waliyojiwekea au namna wanavyoweza waka swing na waves.
Tafsiri yako inaweza isifanane ya kwao, ni bora uwaulize kuliko kuwashutumu kuwa wanakosea, kisa unataka waishi vile utakavyo wewe au vile ulivyozoea.
kuna wengi wanaishi pamoja lakini hawajadumu ingawa wanaonekana pamija, angalau hawa wa mbali utakuta pamoja na umbali lakini wanadumu