Ndoa hizi zitatuua jamani!

Kuwa mwanaume....Kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji...

Nyinyi ndo wale wakina junior......mkeo unamwita pacha wako...aaghhghh

Yani nikae nje niwaze narudije nyumbani...nimuogope mwanamke duuuh
Hayajakukuta. Bora kukaa katika pembe ya darini kuliko kuishi na mwanamke mgomvi.
Huko huko anakuanzishia mnaishia kupigana unalala polisi. Humjui mke kisirani wewe. Anakutupia na sahani ya msosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…