Ndoa hizi zitatuua jamani!

Ndoa hizi zitatuua jamani!

Kuwa mwanaume....Kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji...

Nyinyi ndo wale wakina junior......mkeo unamwita pacha wako...aaghhghh

Yani nikae nje niwaze narudije nyumbani...nimuogope mwanamke duuuh
Hayajakukuta. Bora kukaa katika pembe ya darini kuliko kuishi na mwanamke mgomvi.
Mkuu kama hilo Dogo huwezi basi itakuwa hukumpenda huyo Mkeo, labda umelazimishwa kuwa naye

Kuna njia za kumshusha temper Mkeo Moja wako ni hiyo ya kumtoa out

Tena ukiweza kumpeleka hotelini Siku hiyo usishangae ukapewa vitu ambavyo hukutarajia kupewa...😜
Huko huko anakuanzishia mnaishia kupigana unalala polisi. Humjui mke kisirani wewe. Anakutupia na sahani ya msosi.
 
Back
Top Bottom