Ndoa hizi zitatuua jamani!

Huko huko anakuanzishia mnaishia kupigana unalala polisi. Humjui mke kisirani wewe. Anakutupia na sahani ya msosi.
Hakuna mke wa kukufanyia timbwili hotelini Kaka, kwanza ataanzia wapi?

Imagine umemwambia ajiandae Kwa mtoko wa usiku

Baada ya masaa mawili ya kujiandaa mnaita Uber/bolt inawapeleka Samakisamaki ambapo mnaagiza chakula/Vinywaji huku unamsifia jinsi alivyopendeza

Mnatoka mnacheza mziki kidogo
Ataanzia wapi kaka
 
Atakua ana evidence flani za matukio ya nyuma
Kama ulivyosema unachepuka ila sio sana
Evidence moja tu inatumika lifetime na inaonekana unachukulia poa na unamuona kama ni mpiga kelele badala ya kufeal na hizo anazokuambia
Je hujawa chepuka?
Na kama uneshwawahi chepuka je hajakuta evidence unachat na michepuko
Can you imagne siku uneshika simu ya mke ukakita jinsi anavyoshukuru mwanaume huko atokapo sex ilikua bomba
Nyie dont under rate uzinzi kwenye ndoa unaumiza
Si ajabu mpaka ana fika hapo umemfikisha wewe
 
Babu huyooo
 
Labda awe Hana tumbo kubwa Ila km ana kitambi atamsifia uongo
 
Wewe umeoa? . Usidhani umeyapatia maisha achana na mwanamke
 
Haumkidhi hamu zake ndio maana. Mara ya mwisho ni lini alifika kileleni?
 
Kupitia andiko langu nimegundua yafuatayo ;
1. Wewe ni mchepukaji/mzinzi
2. Wewe huwajibiki kama mwanaume/kiongozi kwenye ndoa yako
3. Wewe unaendesha ndoa yako bila maadili/imani/dini yaani upoupo tu. Umepwaya kwenye ndoa yako
4. Mke wako bado anakupenda ndio mana ana gubu siku akiacha kuongea umekwisha.

USHAURI: wajibika kama baba na kama mume pia wajibika kama kiongozi. Wewe ndio uliyeamua kuoa kwa hivyo nyumba haichoki kubeba paa Lake.
 
Usiogope kuanza upya, piga chini, kwabi ulizaliwa nae huyo?

Mapenzi ni burudani, afya, starehe, tulizo la nafsi etc, haipaswi mapenzi kuwa ndio chanzo cha matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…