Unazingumzia hilo pozi ama?
Na mzungu wa nne pia ongezea picha yake
Hasa uoe au uolewe na mtu ambaye ametoka kwenye familia ya kimasikini (ambao tuko wengi). Anawaza Mali mlizochuma tu.Ubinafsi wa mali ni moja ya chanzo kikubwa,haya mengine hutokezea baadaye kadri mambo yanavyozidi kuharibika.Na kwa wengine ni yale mambo ya kuwageukia ma Ex wakidhania kuwa bado wanawapenda...
Hayo hayawezekeni katika zama hizi ambapo mwanaume anaamini kitu pekee cha thamani kwa mwenza wake ni kumspoil kwa pesa,na mwanamke haoni uthamani wa mwanaume zaidi ya kuwa na pesa hasa penzi linapoanza.Sasa pale ulimbukeni huo unapoisha ndio utamu wa ndoa huanza.
Tunasahau wa nje hufurahisha kwa sababu mnaonana kwa wiziNa akitokea aliyetoka nje akakutana na mtu akamridhisha kuliko inavyokuwa katika ndoa!
Hatataka tena suluhu itakuwa ngumu sana kuirudisha hiyo ndoa pazuri.
Mwingine anataka suluhu, mwingine hataki!! Ushaona hiyo??
Sio tu mlizochuma..hata zile ambazo alizikuta na hajui ulizipatapataje nazo atazitaka....na mshahara ako wote na nguvu zako zote na akili zako zote na muda ako wote...Hasa uoe au uolewe na mtu ambaye ametoka kwenye familia ya kimasikini (ambao tuko wengi). Anawaza Mali mlizochuma tu.
Hao ni Malimbukeni tu,na Kina Ginimbi wawaze nini Kama wao wanawaza Mali!?Hasa uoe au uolewe na mtu ambaye ametoka kwenye familia ya kimasikini (ambao tuko wengi). Anawaza Mali mlizochuma tu.