Ndoa ikifika hali hii mnakaribisha zinaa kama bado haijaingia

Ndoa ikifika hali hii mnakaribisha zinaa kama bado haijaingia

Maumivu ya kuchaniwa mkeka yanaondoa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
Sikuzote hakikisha unarudi nyumbani with empty mind set from work or whatever. Kama ikiwa na ulazima basi mshirikishe mke/mume wako lililo kusibu ili awe faraja yako.
 
Mwanaume gani huyo anashindwa kuendesha Nyumba yake,alafu anakuletea malalamiko yake weye!? Mwambie aache upumbavu na amuambie Mkewe kile kitu anachopenda kula ndiyo kipikwe hivyo la sivyo mashariti na Vigezo kuzingatiwa ebo!!
Wanaume wengi hawana sauti kwa wake zao, so wanabaki kugugumia tu na kulalamika kwa watu baki. Huu ni utafiti wangu binafsi, usiniulize sampo saiz
 
Juzi Kati wife anataka niweke wazi bank statements yangu ili ajue kinacho ingia na kinacho toka, nimegoma hadi mida hii kanuna ndoa ina miezi sita, wakuu hii imekaaje?
Teh
 
Wanaume wengi hawana sauti kwa wake zao, so wanabaki kugugumia tu na kulalamika kwa watu baki. Huu ni utafiti wangu binafsi, usiniulize sampo saiz
Na Mwanaume unakosaje sauti kwa Mkeo!? Nini Sasa maana ya kubeba Vichwa viwili!? Unamuogopaje mtu mwenye kichwa kimoja!? Wanaume tunafeli wapi siku hizi!? Yaani Mungu kakupa Vichwa viwili,kimoja Cha kufikiria na kichwa kingine ni Cha kutia akili, Wanaume tumieni vichwa vyenu vyote viwili na utakua na sauti kwa Mkeo hata Kama anamiliki World Bank!
 
Mkuu usiwadanganye wenzako hapa, mambo yamebadirika siku hizi, hakuna sababu ya kujifanya kijogoo, wanawake sasa hivi ukijifanya shingo ngumu wanaweza kukua, acha tukae hivi hivi bwana mradi maisha yanaenda, mtu akifuata ushauri wako akaenda kumtishia mke wake na akapatwa kiminyo najua wewe hutakuwepo, soften to her as much as you can.
 
Na akitokea aliyetoka nje akakutana na mtu akamridhisha kuliko inavyokuwa katika ndoa!

Hatataka tena suluhu itakuwa ngumu sana kuirudisha hiyo ndoa pazuri.

Mwingine anataka suluhu, mwingine hataki! Ushaona hiyo?
ni kweli kabisa yaani hapo ndio mziki unapokuwepo
 
Mkuu usiwadanganye wenzako hapa, mambo yamebadirika siku hizi, hakuna sababu ya kujifanya kijogoo, wanawake sasa hivi ukijifanya shingo ngumu wanaweza kukua, acha tukae hivi hivi bwana mradi maisha yanaenda, mtu akifuata ushauri wako akaenda kumtishia mke wake na akapatwa kiminyo najua wewe hutakuwepo, soften to her as much as you can.
Sasa kwa taarifa yako wwe endelea na Ukondoo wako kwa Mkewo,siku ukikuta msg kwenye simu yake na yeye ni Kondoo kwa Mwanaume mwingine huko Nje, ndiyo utajua kua Nini maana ya kua Mwanaume mwenye vichwa viwili!! Hivi inakuwaje Mwanamke huyo anakutolea ukali sana alafu kwa Mwanaume mwingine anakua bwege!?
 
View attachment 1627217
Sababu mojawapo ni kumkosoa mwenza mbele za watu. Mkisha funga ndoa nyinyi ni mwili mmoja. Mume wako akichemka hadharani unaimeza aibu mpaka mfike chumbani ndiyo mnaongea. Mfano unajua mume wako Kimalkia hakipandi, akivunja mbele za watu meza.

Kumkumbatia mume wako asubuhi akiwa anakuaga ni muhimu. Kwa mila za Afrika ni ngumu kufanya haya kama mpo na wazazi au wakwe. Mkumbatie chumbani na busu hata akirudi kutoka kazini.

Jiepushe na marafiki wasio mkubali mke/mume wako. Maneno yao yatakua sumu katika penzi lenu.

Jifunze kuomba msamaha kwa mke/mume wako. Kiburi ni sumu ya mapenzi.

Kuwa muwazi kwa mwenza wako. Mfano Haya mambo ya kuja kufahamu ulizaa kabla ya ndoa mkiwa tayari kwenye ndoa yana leta hatari sana.

Wengine neno niache au tuachane limekaa mdomoni kila mkikwaruzana kidogo tu.

Kila ukipata nafasi weka manjonjo kwenye ndoa yenu. Hata kutumia weekend hotelini kubadilisha mazingira na kuwa na nafasi yenu.
"......Kila ukipata nafasi weka manjonjo kwenye ndoa yenu. Hata kutumia weekend hotelini kubadilisha mazingira na kuwa na nafasi yenu"

Kiufupi TUTAFUTE HELA.Asante tumekuelewa
 
Back
Top Bottom