Ndoa ikifika hali hii mnakaribisha zinaa kama bado haijaingia

View attachment 1627217
Sababu mojawapo ni kumkosoa mwenza mbele za watu. Mkisha funga ndoa nyinyi ni mwili mmoja. Mume wako akichemka hadharani unaimeza aibu mpaka mfike chumbani ndiyo mnaongea. Mfano unajua mume wako Kimalkia hakipandi, akivunja mbele za watu meza.

Kumkumbatia mume wako asubuhi akiwa anakuaga ni muhimu. Kwa mila za Afrika ni ngumu kufanya haya kama mpo na wazazi au wakwe. Mkumbatie chumbani na busu hata akirudi kutoka kazini.

Jiepushe na marafiki wasio mkubali mke/mume wako. Maneno yao yatakua sumu katika penzi lenu.

Jifunze kuomba msamaha kwa mke/mume wako. Kiburi ni sumu ya mapenzi.

Kuwa muwazi kwa mwenza wako. Mfano Haya mambo ya kuja kufahamu ulizaa kabla ya ndoa mkiwa tayari kwenye ndoa yana leta hatari sana.

Wengine neno niache au tuachane limekaa mdomoni kila mkikwaruzana kidogo tu.

Kila ukipata nafasi weka manjonjo kwenye ndoa yenu. Hata kutumia weekend hotelini kubadilisha mazingira na kuwa na nafasi yenu.
Sky, kwanini mnapenda sana kukimbilia eti kutoka Out ? sijui kwenda hotel !, watu kule vijijini (ambapo hakuna hizo beach resort) wanaweza kuishi vizuri na kwa miaka mingi bila kukwaruzana, tena katika hali ya maisha duni, lakini wanawake kule ni wavumilivu, huku mjini mwanamke anakuangalia tu, akiona humpeleki hoteli kubadirisha upepo anakuona wewe lofa, maisha yenyewe haya ya magufuri ni magumu jamani, hela za kwenda kustarehe hotelini huku mmeacha nyumba yenu zinatoka wapi ?, wamama jifunzeni kupenda waume zenu hivyhivyo
 
Huyu mwanamke kama ni mwerevu hata kwa hela yake anaweza kukupa surprise mkaenda Bagamoyo weekend.

Kule kijijini mume ana kuchukua mnakwenda kumsalimia shangazi yake kijiji cha tatu, ingawa ukifika kule unaungana na watoto wa shangazi jikoni lakini ndiyo ki holiday.
 
Huyu mwanamke kama ni mwerevu hata kwa hela yake anaweza kukupa surprise mkaenda Bagamoyo weekend.

Kule kijijini mume ana kuchukua mnakwenda kumsalimia shangazi yake kijiji cha tatu, ingawa ikifika kule unaungana na watoto wa shangazi jikoni lakini ndiyo ki holiday.
Mkuu Sky, mwanamke amtoe mume kwenda Bagamoyo ?, mimi sidhani inawezekana hivyo, tuwaulize wanaume humu jamvini wathibitishe hili
 
Sky, kwanini mnapenda sana kukimbilia eti kutoka Out ? sijui kwenda hotel !, watu kule vijijini (ambapo hakuna hizo beach resort) wanaweza kuishi vizuri na kwa miaka mingi bila kukwaruzana, tena katika hali ya maisha duni, lakini wanawake kule ni wavumilivu, huku mjini mwanamke anakuangalia tu, akiona humpeleki hoteli kubadirisha upepo anakuona wewe lofa, maisha yenyewe haya ya magufuri ni magumu jamani, hela za kwenda kustarehe hotelini huku mmeacha nyumba yenu zinatoka wapi ?, wamama jifunzeni kupenda waume zenu hivyhivyo
umeandka kwa uchungu kaka sawa tumekuelewa mwaya 🙄
 
Katika ndoa kwanza UPENDO,pili UVUMILIVU,tatu KUJUA THAMANI YA MWENZI WAKO,nne SAMAHANI,tano ni KILA MMOJA ASIMAME KWENYE NAFASI YAKE KIKAMILIFU(mke kama mke na mume kama mume)
Hapo ndoa itakuwa tamu kuliko asali,inanukia vizuri kuliko marashi, nyeupe kuliko theluji
 
Asprin anafanyiwa hayo mbona, hela ya ziada ikipatikana unakuta na BAE. Hii dhana ya mwanaume kulipia kila kitu imepitwa na wakati.
Nina uzoefu wa kutosha sana juu hii hoja yako hapa, wala haujasema uongo

NB; ni kwa wakubwa zaidi sio vijana (wasichana na wavulana)
 
Katika ndoa kwanza UPENDO,pili UVUMILIVU,tatu KUJUA THAMANI YA MWENZI WAKO,nne SAMAHANI,tano ni KILA MMOJA ASIMAME KWENYE NAFASI YAKE KIKAMILIFU(mke kama mke na mume kama mume)
Hapo ndoa itakuwa tamu kuliko asali,inanukia vizuri kuliko marashi, nyeupe kuliko theluji
Wengi tuna shindwa hili, ukipata mchumba jiulize huyu anaweza kunisafisha nikiwa mgonjwa? Anaweza kutumia pesa yake kununua chakula nikiwa sina? Majibu yatakupa mwongozo wa safari yenu. Ndoa siyo pesa, pesa ni matokeo.
 
Ndoa ni kuvumiliana weeeeeee hadi inakuwa mazoea mnazoeana mnachukuliana kila mmoja kama kitu kimoja.

Ulipo na madhaifu nakuwa imara na ulipo imara nina madhaifu tunasonga
 
Wengi tuna shindwa hili, ukipata mchumba jiulize huyu anaweza kunisafisha nikiwa mgonjwa? Anaweza kutumia pesa yake kununua chakula nikiwa sina? Majibu yatakupa mwongozo wa safari yenu. Ndoa siyo pesa, pesa ni matokeo.
Sky, nasikia wanawake wengi huambiana kwamba hela ya mwanaume ndio ya familia, hela ya mwanamke ni ya kwake tu, hicho ulichosema kwamba hela yake kununua chakula cha familia wachache saana, na bahati mbaya hata akitumia hela yake kuna uwezekano mkubwa akakudai baadae hata kwa maneno ya kuudhi
 
Bibilia inasema mwanamke mwerevu Huizenga nyumba yake kwa mikono yake na mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake.

Hata nyumba nitajenga kama ninauwezo kwani aibu ya mume wangu ni ya kwangu.
 
Nashukuru kwa kunielewa, nyie wenzangu huwa mnawatoa hawa wake zenu Out ?, eti kwenda Hotel kubadiri upepo ? huwenda mimi pekee yangu ndio nakosea.
Sio lazima iwe hotel. Mwanamke hata ukitoka nae nyumbani mkatembea kwa pamoja njiani au barabarani kwa miguu huku mkiongeleshana hili na lile walau mara moja au mbili hata kwa mwezi anajipata anapendwa sana na mume wake.

Kuna wanaume hata kuingia bafuni akaoga na mkewe hawajawahi!! Yaan yeye ni serious tuuuuuuuuu hana hata muda wa kutaniana na mkewe utafikiri askari magereza na mfungwa wake huo upendo utatoka wapi?

Mke hujawahi mnunulia hata chuppi tu ukamletea mkeo nyumbani ukaingia nae bafuni mkaogeshana ukamwambia mama fulani / mke wangu fumba macho nikusspraizi akafumba ukamvalisha kyupi kizuuuri akapendeza ukamwambia fumbua macho akatabasamu mkakumbatiana mkacheka mkafurahi.

Kuna zile moments ambazo mnakumbushana namna mlivyokutana mkapendana mkatongozana hadi mkawa marafiki kisha wachumba hadi kuoana ni muhimu sana pia kwa baadhi ya nyakati

Mke na mume hawawezi hata kuambizana neno mke/mume wangu nakupenda hakuna!!

Halafu hakuna watu wanaopenda na wanajiskia furaha kama wake zetu ukiwasifia. Yaan we msifie tu mara kwa mara. Mwambie mke wangu nakupenda sana wewe ni mwanamke mzuri kuliko wanawake woooooote duniani hata kama sivyo alivyo msifie tu anajipata yuko na furaha sana moyoni mwake

Mpe zawadi hata kama ni pipi au nguo au kiatu au mafuta ya kupakaa au manukato kulingana na uwezo wako we mpe atafurahi na atathamini sana upendo wako kwake
 
Sky, nasikia wanawake wengi huambiana kwamba hela ya mwanaume ndio ya familia, hela ya mwanamke ni ya kwake tu, hicho ulichosema kwamba hela yake kununua chakula cha familia wachache saana, na bahati mbaya hata akitumia hela yake kuna uwezekano mkubwa akakudai baadae hata kwa maneno ya kuudhi
Hii ianawapata sana wale wanandoa ambao tangu mwanzoni walijijengea utaratibu huo lakini mkiwekana sawa tangu urafiki , uchumba hadi kuoana wala haisumbui

Na tatizo hili linasababishwa zaidi na sisi wanaume wakati wa kuanzisha mahusiano huwa hatupo halisia i.e mambo mengi huwa tunayaficha kwa kujifanya wavumilivu jambo ambalo hutuletea shida sana yanapoanza majukumu mwakubwa hasa ya watoto tunajikuta tunaelemewa na kwakuwa mke hukumuandaa kwa utaratibu wa kushirikiana na kusaidiana ukimuanzishia ndani ya mwenendo wa maisha ndoani anaanza kujuona gaidi

Mwanamke wa kumuoa ni lazima tangu mwanzo umuwekee utaratibu wa kufuata tangu awali hataki unajua kabisa huyu ni mbinafsi hatanifaa unaacha unatafuta wa kukufaa
 
Bibilia inadema mwanamke mwerevu Huizenga nyumba yake kwa mikono yake na mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake.

Hata nyumba nitajenga kama ninauwezo kwani aibu ya mume wangu ni ya kwangu.
Big up
 
Katika ndoa kwanza UPENDO,pili UVUMILIVU,tatu KUJUA THAMANI YA MWENZI WAKO,nne SAMAHANI,tano ni KILA MMOJA ASIMAME KWENYE NAFASI YAKE KIKAMILIFU(mke kama mke na mume kama mume)
Hapo ndoa itakuwa tamu kuliko asali,inanukia vizuri kuliko marashi, nyeupe kuliko theluji
Haya yote kabla hamjaoana kila mtu anakuwa anayajua ila mkishaoana tu,kama hamko kwenye mstari shetani anapora vyote mnabaki kama mlivyo yanaanza mapambano....
 
Wengi tuna shindwa hili, ukipata mchumba jiulize huyu anaweza kunisafisha nikiwa mgonjwa? Anaweza kutumia pesa yake kununua chakula nikiwa sina? Majibu yatakupa mwongozo wa safari yenu. Ndoa siyo pesa, pesa ni matokeo.
Wanawake wa sasa hivi wenye uwezo wa kufanya hivyo ni hawazidi 3 kati ya 10.
 
Bwana mmoja kazini alinisimulia, huwa ananunua nyama J’mosi. Asipoacha pesa ya kila siku asubuhi akirudi anakuta a na bakuli la nyama iliyochemshwa, haina limao, kitunguu wala nyanya. Nilimjibu hata kule Syria kuna ushirikiano ingawa wako vitani.
 
Back
Top Bottom