Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Katika kupita pita ofisini nimekutana na story ya lecturer mmoja alikuwa anafundisha na ndoa yake ilivunjika miezi mitatu iliyopita.
Sasa ile naingia ofisini nikakuta mateacher wanaongea kuwa ndoa ilivunjika kwasababu mumewe alikuwa ni down low….. Mwanamke yakamshinda
SASA sijaelewa hili neno linamaana gani
Sasa ile naingia ofisini nikakuta mateacher wanaongea kuwa ndoa ilivunjika kwasababu mumewe alikuwa ni down low….. Mwanamke yakamshinda
SASA sijaelewa hili neno linamaana gani