“Ndoa ilivunjika kisa mwanamke aliolewa na Down low”

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Katika kupita pita ofisini nimekutana na story ya lecturer mmoja alikuwa anafundisha na ndoa yake ilivunjika miezi mitatu iliyopita.

Sasa ile naingia ofisini nikakuta mateacher wanaongea kuwa ndoa ilivunjika kwasababu mumewe alikuwa ni down low….. Mwanamke yakamshinda

SASA sijaelewa hili neno linamaana gani
 
Katika kupitq pitq oficin Nimekutana na story ya lecturer moja alikua anafundisha na ndoa yake ilivunjika miezi mitatu iliyopita.

Sasa ile naingia ofc nikakuta mateacher wanaongea kua ndoa ilivunjika kwasababu mumewe alikua ni down low….. Mwanamke yakamshinda

SASA sijaelewa hili neno linamaana gan
Down low means His dick pérfomance went yalayala during intercourse
 
Katika kupitq pitq oficin Nimekutana na story ya lecturer moja alikua anafundisha na ndoa yake ilivunjika miezi mitatu iliyopita.

Sasa ile naingia ofc nikakuta mateacher wanaongea kua ndoa ilivunjika kwasababu mumewe alikua ni down low….. Mwanamke yakamshinda

SASA sijaelewa hili neno linamaana gan
JAMAA NI CHICHA MWIBA
 
DL ni mwanaume anayejionyesha yuko na mahusiano heterosexual (anabandua au anaoa kabisa) ila na yeye ni marindaless
 
Yaani Ma lectures wazima mnakaa mnajadili watu maofisini??

Badala muongelee vya masomo mnapiga majungu tu. Yaani badala mjikite ku discuss kutoa ma jono na ma Pepa nyie mnaongelea uhanithi wa mtu mwingine
 
Back
Top Bottom