Abdallahking
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 3,985
- 10,840
- Thread starter
- #21
SEHEMU YA SITA: FLORA NA PENZI JIPYA
PART 1
SIKU NZIMA SIKUWA NA RAHA OFCN. MAMA MTU MXIMA AMBAYE TUMEZOEA KUMUITA BIBI KWA UZOEFU WA UTU UZIMA ALINITAZAMA NA KUJUA NINA TATIZO. LAKINI PIA HABARI ZA MWENGE ZILISHAENEA SANA NA KUFANYA KILA MTU SASA ATAKE KUNIJUA MIMI NA KUJIULIZA HOW MUME ANATOKA NA KAHABA ILI HALI ANA MKE MREMBO KIASI KILE. NILIAMUA KUFUNGUKA KWA BIBI NA KUMUELEZA KILA KITU. NILILIA SANA. BIBI ALINIAMBIA HUNA KASORO YOYOTE ILE. WEWE NI MWANAMKE MREMBO BADO. MA HATA KAMA MUME ANAKUWA NA TABIA MBOVU MSAMEHE ANGALIA FAMILIA YAKO. NILIMUELEZA BIBI KWAMBA PIA ANANIPIGA SANA. BIBI ALINIAMBIA UMEKUWA MSICHANA MREMBO MUAMINIFU SANA MAISHA YAKO YOTE. NA UMEKUWA MKE MWEMA NA MCHA MUNGU. HIVYO SHETANI ANAKUJARIBU MWANANGU. USILIE NYAMAZA. WAKATI NAENDELEA KUONGEA NA BIBI MARA SIMU YANGU ILIITA NA NILIPOPOKEA BIBI ALINIASHIRIA NISILIE ILI NIWEZE KUONGEA NA SIMU.
Haloo mamii?Fransis hapa.
MOYO ULIPATA BURUDIKO LA GHAFLA. LAKINI PIA NA MACHOZI YANINICHURUZIKA NIKIJIULIZA DEUSI HAWEZI KUFANYA HIVI?
Haloo fransis habari? Huku nikiwa napiga kwikwi za kilio.
Flora!whats wrong?are you okay mamii?
Yes am okay… nilijibu huku nikiwa nalia bado.
Noooo… big noooo… okay okay…. are you safe so that i can come and see you just now?
SIKUJALI LOLOTE LILE. HARAKA SANA NILIJIBU YES AM OKAY.
NA AKASEMA OKAY AM COMING.
Nilikata simu kisha nikawa naendelea kutafakari. Na ndani ya dakika 20 sijui aliwezaje kuendesha gari haraka hivyo kwani najua umbali wa ofc zake na mahali ofc zangu zipo ni kama km 30 hivi.Dakika chache alisukuma mlango wa ofc yangu na nilimuona akiingia……
Nilishtuka na machozi yalinibubujika zaidi…
Alisimama kidogo kisha akasema naweza kukukumbatia?
Sikuweza kutoa jibu. Na alisema Florah relax please let our heart talk…
Flora naomba utambue kwamba moyp huwa hauoni kwa kukosea. Hufuata hisia zake na kuangukia mahali salama. Usiruhusu akili yako ifanye kazi. Bali achia moyp wako. Mimi moyo wangu unanisukuma sana kuwa na wewe. Moyo wangu unanisumbua na kunipelekesha. Akili yangu inajua wewe ni mke wa mtu ila moyo wangu unakataa baby… please lets our heart talk.
MANENO HAYO YALISABABISHA SIJUI NINI KITOKEE NA MWENYEWE NILIJIKUTA NIMESOGEA MPAMA MAHALI ALIPO NA KUJIKUMBATISHA NA KUJOLAZA JUU YA KIFUA CHAKE… NA HUKU NIKILIA…
noooo nooo dont cry….. usilie flora. Usilie. Moyo wako sasa utulize. Umelia sana ila sasa imetosha. Dry ur tear… just smile i want to see you happy darling… ur a woman of my life. Nakupenda. Naongeakutoka moyoni na si akilini. Akili ifanye kazi ila moyo ufanye mapenzi… aliendelea kunikumbatia kwa dakika tano kisha akanisogeza hadi kwenye kiti changu na kuniketisha na kusema baby i love you. Take care anf talk to you soon. Bye for now. ALIFUNGUA MLANGO NA KUONDOKA NA KUNIACHA KAMA NIMECHANGANYIKIWA NIKIMTAMANI AENDELEE KUONGEA.. NIKIWA NAENDELEA KUTAFAKARI NISIJUE WALA KUMUONA BIBI.. SAUTI YA BIBI ILINIAMBIA flora flora flora… NILISHTUKA NA MAWAZO YAKARUDI OFCN.
BIBI ALINISOGELEA NA KUNITAZAMA. ALINIAMBIA FLORA MIMI NI MTU MXIMA. UNACHOTAKA KUFANYA SIO SULUHISHO LA NDOA YAKO. ILA NI TATIZO JUU YA TATIZO. KUMBUKA HUYO UNAMPENDA KWA VILE UNATATIZO ILA SI KWA VILE UNAMPENDA. LINDA HESHIMA YAKO MWANANGU. MBONA RAHISI?
SASA AKILI IKAWA INATAKA KUJITETEA NA KUANZA KUMUELEZA BIBI KWAMBA MUME HANITENDEI HAKI. AMENIONAJE.. MBONA ANATOKA NA MWENGE NA NIMEMUACHA TU?BIBI ALIJARIBU KUNIELEZEA LAKINI NILIONA NAONEWA SANA. NA BIBI AKANIAMBIA NAONA LEO AKILI SI YAKO MWANANGU. KESHO NITAONGEA NA WEWE. KISHA AKACHEKA. NA MIMI NIKACHEKA. ALIPIGA HATUA MBILI ZA KUONDOKA NA KISHA AKARUDI NA KUMISOGELEA KABISA MEZANI AKAINAMA NA KUNIAMBIA” flora anayepelekwa na maji mengi hufa akicheka”