Ndoa ilivyoteteresha imani yangu (Kisa Cha Kweli)

Asante sana kwa simulizi yenye mafunzo kedekede. Kumshinda shetani na kuzipata baraka za Mungu tena ni kukubali makosa, kumuaibisha pale alipokudondosha na kuanza upya na Mungu....
 
Asante sana kwa simulizi yenye mafunzo kedekede. Kumshinda shetani na kuzipata baraka za Mungu tena ni kukubali makosa, kumuaibisha pale alipokudondosha na kuanza upya na Mungu....

Amen, asante pia kwa kufuatilia
 
Ona sasa miuu umekula muda wangu na sikuu hii tangu saa 11 hadi sasa ni saa mbili kasoro nasoma tu story.

Asante! Nimejifunza. Ila busara ya convasition ya kikao ni [emoji91][emoji91][emoji91] sana
 
Flora na mavitenge yake amemkaribisha hili kurumbembe mpemba akitegemea nini?
Ni bwegeza kabisa anafanya hivyo.
Anyway kisa kizuri "mfa maji huwa anacheka" alisema bibi yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…