Katika vitu huwa naachwa kwenye mahusiano ni mwanamke awe ananiganda mara upo wap mara simu za kila mara mara nahisi unanisaliti hayo mambo huwa sitakagi kuyasikia kabisa naona kma nauza uhuru wangu.πππUnakuwa umebanwa sana na memsaheeb.Hata jana tu nilikuwa nimekaa "Kidimbwini" nikawa najiuliza nirudi nyumbani au nisirudi!?Nilivyokumbuka kwamba kuna mtu anapigapiga simu nirudi,nikarudi kinyoooongeee!
Faida kubwa ya Ndoa ni ujenzi wa familia bora, hao wanao ulowazaa watapata malezi ya upande 1, jambo ambalo huenda likaathiri makuzi yao direct.Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Wanawake waliopo kwenye ndoa ni zaidi ya wanajeshi vitani.Kila muda wanatwaa darubini/binoculars zao na kuchekicheki ushwari au rabsha uwanja wa vita.Katika vitu huwa naachwa kwenye mahusiano ni mwanamke awe ananiganda mara upo wap mara simu za kila mara mara nahisi unanisaliti hayo mambo huwa sitakagi kuyasikia kabisa naona kma nauza uhuru wangu.πππ
Acha Niseme mapenz matam Maisha_RealKatika vitu huwa naachwa kwenye mahusiano ni mwanamke awe ananiganda mara upo wap mara simu za kila mara mara nahisi unanisaliti hayo mambo huwa sitakagi kuyasikia kabisa naona kma nauza uhuru wangu.πππ
Hii itakua nzuri sana mkichokana unabadilisha chuma nyingne tu.Miaka michache ijayo,Ndoa zitakuwa za mkataba wa miaka kadhaa na baada ya hapo,Wataangalia kama kuna sababu ya kuendelea kuishi pamoja ama la.
Kuwalizisha β kuwaridhisha. All in all, never try that my dear brother. Hiyo inaweza ikakugharimu maisha yako yote. Trust me. Ndoa ilikuwa ni sacred institution zamani ila kwa sasa ni sehemu ya mwanamke kujichumia mali za mwanaume.nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
Nilikuwepo huko mkuu nawajua vizuri ?, upo zako viti virefu unakunywa bia kwa wasiwasi kama unaoga nnje, ukimaliza unatafuna majani ili harufu itoke πππWanawake waliopo kwenye ndoa ni zaidi ya wanajeshi vitani.Kila muda wanatwaa darubini/binoculars zao na kuchekicheki ushwari au rabsha uwanja wa vita.
Simple, waulize hao wazee hilo swali haiwezekani wakukomalie kwa kitu kisichokuwa na faida.Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist π ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Huwa tunakuwa mashujaa kwenye mambo mengine tu.Tukisikia habari za wake zetu tunanywea ile ngumu.Hana uwezo wa kukupiga wala chochote lakini we are in for it!Nilikuwepo huko mkuu nawajua vizuri ?, upo zako viti virefu unakunywa bia kwa wasiwasi kama unaoga nnje, ukimaliza unatafuna majani ili harufu itoke πππ
Mods walitakiwa wasiruhusu comment nyingine maana hii imemaliza kila kitu.Hatma ya Manisha yako ipo mikononi mwako Mkuu
Kwa wanawake hawahawa?Tujiandae kutembea kwa masikitiko mengi.Vichaa kama wote.Hii itakua nzuri sana mkichokana unabadilisha chuma nyingne tu.
Ukifika 45+ utajua faida yake na ukidharau utaona madhara yake.Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist π ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Umemkataa Mungu unashindwaje kuwakatalia hao binadamu?.Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist π ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Sawa . Njoo unioeBas subiri kuolewa
Nimekuelewa.. acha nifanye maamuzi yanguWee bwege nini? Mbona unakuwa kama teenager??!! Mwanaune ni yuke mwenye msimamo. Wee usiyumbishwe na wazazi maana wao hawataishi na huyo mwanamke