Ndoa ina faida gani ?

Basi unajiona mwamba kuwa na watoto wawili ambao wanalelewa na mama zao.... kumbe ni jinga tu mshenzi mmoja mnaleta viumbe duniani kuvitesa.
Kama wewe mwamba kajitie uhanisi au deal na malaya wa kununua kuliko kuleta viumbe wasio na hatia kuwa na baba takataka tu.
 
Na
Faida gani zaidi ya watoto kukaa upande wa mama yao
Ukifika 45+ utajua faida yake na ukidharau utaona madhara yake.
 
Chakufanya wekeza kwenye miladi yako hai ,iwe nyumba za kupangisha, biashara, mashamba n.k hivyo vitakusaidia mbeleni,,ilimladi unawatoto tayari huna Deni ,ndoa haina faida kwa mwanaume zaidi yakufa mapema tu,,sio kazi ndogo kutunza jitu zima mpaka lizeekee kwako,,, u naweza oa but baadae mitoto na mama yao wakaungana kukukaanga
 
Kwa MUngu , Mungu yupo bhana acha bangi
 
Faida zipo endapo utapata mwenza sahih...
Vinginevyo ndoa ni utumwa na mateso iwe kwa mwanaume / mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…