Ndoa ina faida gani ?

Ndoa ina faida gani ?

Basi unajiona mwamba kuwa na watoto wawili ambao wanalelewa na mama zao.... kumbe ni jinga tu mshenzi mmoja mnaleta viumbe duniani kuvitesa.
Kama wewe mwamba kajitie uhanisi au deal na malaya wa kununua kuliko kuleta viumbe wasio na hatia kuwa na baba takataka tu.
 
Na
Fainali uzeeni ,halafu raha ya maisha ni misukosuko ya hapa na pale kupata experience ya maisha mengine,kuwa na kampuni unayoongoza hata kama uko ulipo unaongozwa sasa wewe utakuwa mwanaume wa namna gani hata kuoa utaki ,wewe sio mwanaume ni something else jichunguze .Raha ya kuwa mwanaume ni kukabiliana na kila kitu regardless what?
Faida gani zaidi ya watoto kukaa upande wa mama yao
Ukifika 45+ utajua faida yake na ukidharau utaona madhara yake.
 
Chakufanya wekeza kwenye miladi yako hai ,iwe nyumba za kupangisha, biashara, mashamba n.k hivyo vitakusaidia mbeleni,,ilimladi unawatoto tayari huna Deni ,ndoa haina faida kwa mwanaume zaidi yakufa mapema tu,,sio kazi ndogo kutunza jitu zima mpaka lizeekee kwako,,, u naweza oa but baadae mitoto na mama yao wakaungana kukukaanga
 
Wazee wangu ni watu wa kanisa sana, si unajua wazee ?

Sasa mm hizo mambo za kanisani, sijui mungu , siamini na sipo kwenye hayo mambo. Kwahyo wao wanaona ndoa ni swala la kimungu , alafu ndio siamini maswala ya mungu.

Sio kwamba wananipangia , ila imekuwa kero ,
Kwa MUngu , Mungu yupo bhana acha bangi
 
Faida zipo endapo utapata mwenza sahih...
Vinginevyo ndoa ni utumwa na mateso iwe kwa mwanaume / mwanamke
 
Back
Top Bottom