Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

Wasikutishe, mie niko mwaka wa 3 ndoani na najionea raha tu..
Kukoseana kupo, ila raha ni nyingi na kubwa kubwa kuliko hivi vidogo vidogo, ambavyo ni kama hakuna tu.

Enjoy maisha usifikirie negative, we nenda na positive mind tu, ikitokea negative baridi, unajivua gamba maisha yataendelea, ila ukiwa na mawazo negative kichwani utashindwa kuzila raha zako vizuri.
 
Back
Top Bottom