Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
- Thread starter
- #21
Naam , negative zipo na nimeshazipitia ila ni chachee sanaaa hazibadishi chochote kwenye kuendelea kufurahi ndoa yangu/yetu.Wasikutishe, mie niko mwaka wa 3 ndoani na njionea raha tu..
Kukoseana kupo, ila raha ni nyingi na kubwa kubwa kuliko hivi vidogo vidogo, ambavyo ni kama hakuna tu.
Enjoy maisha usifikirie negative, we nenda na positive mind tu, ikitokea negative baridi, unajivua gamba maisha yataendelea, ila ukiwa na mawazo megative kichwani utashimdwa kuzila raha zako vizuri.