Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

Uzi tayari
Bado changa hiyo siyo!!?

Ndoa Ina stage yake na hakuna uhusiano usio na mwisho! Coz ni Sheria na vyeti TU ndio zinawafanya wanandoa wawe pamoja hata kama uhusiano ushakufa zamani!!

Ikifikia hatua Kila mmoja anafanya mambo yake bila kumshirikisha mwenzake ujue ndoa ishakufa,

Kila mmoja anamiliki Mali yake,fedha sake,viwanja vyake tayari hakuna ndoa hapo huo ni usanii!!
 
So

Soma comment no 43
 
Siku zote nawashangaa wanaolalamika kuhusu ndoa.

Ndoa kwanza sio gharama labsa utake mwenyewe.

Hioz laki laki unazohonga mpe mkeo kama zawadi tu uone moto wake.

Hivyo vizawadi unavyopelekea michepuko tena yenye wanaume wengine kibao mpelekee Mkeo uone moto wake.

Kwa haya yanayoendelea upande wangu, mungu aniwekee mke wangu.
 
Huenda kweli
Huu ndio ukweli ila wahuni wa Jf ukiona comment zao unabaki unashangaa wanavyo lishana matango pori kuhusu ndoa.
Huenda kweli wanakumbana na masahibu, lakini wakae wakijua, mke wa Peter sio wa andrea, mke wa makaveli sio wa fulani.

Kikubwa kabla ya kuoa kuna vitu vitazame kwa umakini, ukiolea AKILI ZA NYEGE kuna asilimia kubwa litakukuta jambo.
 
Ndoa tamuuu sana aiseee,,, bila hii ndoa sijui ningepata wapi haya marhaba. Mdogo wangu kaza ndoa Ina raha yake achana na wapiga Domo wa hapa jf,...
Nasisitiza ndoa tamu hasa ukipata wa kupendana nae.
Hao wanaosema ndoa chungu huenda hawakuchagua chaguo sahihi
Walikurupuka! Ndoa traam dyadyaa
 
Back
Top Bottom