Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

Wasikutishe, mie niko mwaka wa 3 ndoani na njionea raha tu..
Kukoseana kupo, ila raha ni nyingi na kubwa kubwa kuliko hivi vidogo vidogo, ambavyo ni kama hakuna tu.

Enjoy maisha usifikirie negative, we nenda na positive mind tu, ikitokea negative baridi, unajivua gamba maisha yataendelea, ila ukiwa na mawazo megative kichwani utashimdwa kuzila raha zako vizuri.
Mkuu asante kwa kunipa moyo nipo kwenye harakati za kuoa
 
Back
Top Bottom