Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

Pointi hapo ni moja, kama unapenda watoto, ndoa ndio mahala pake.

Sisi ambao tuna mtoto mmoja tu na yuko Marekani, na hatuna mpango wa kuwa na mtoto mwingine, ndoa ni scam tu.
Sio kupenda watoto tu bali Mwanamke ni Mtamu Jomba, watoto ni matokeo tu.
 
SAsa hapo umeoa Jeshi la Ulinzi au Mke?
 
Yaani ndoa jamani...naishi mbali na mme wangu akiwa mbali nammis sana akija nakumbuka anavyoninafkia kwa michepuko yake na ambavyo alijipanga kuishi na michepuko huko uhamishoni nye*** ge xote zinaisha nabaki tu kumshangaa
 
We umejuaje..
 
Wewe ndiyo mimi mtupu... Najiandaa kutoka, nimechoka kabisa
 
copy&paste

kumbe kukaa na dem lazima mkule breakfast daily. alichukua my favourite towel akaifanya duster aty juu nimeitumia for 9 years. huskii hadi nimetafutiwa uniform za kulala. actually nilidhani fruits ni za harusi ama christmass.. saii nazikula daily kama mgonjwa.
Bana shopping ni mara mbili kwa wiki na blueband ni lazima, nilikuwa nimezoea kitunguu na nyanya then royco..saii nimejua spices zote hadi puplica sijui mawat. kwanza nalalia pillows za pink. kitu ingine hanunui nyanya za 10 na kitunguu moja...anaokota kila kitu kwa kibanda bana nilidhani kuoga ni sabuni ya kipande na kagunia..msee nilibuyiwa gloves na scented soap..naoga kama chiwawa then glass zangu za maji zilitupwa zote na vile hizo yoghurts zilikuwa expensive plus kuosha hizo mikebe
introducing towel in my house was the greatest shock, nilizoea nikimaliza kuoga najitingiza kama mbwa nakauka I thought mtu huoga akienda town but guess what naoga ata nikienda kulala....Hadi nmeanza ata kukuwa brown brown
 
Basi tumeachana, nakupa talaka tatu.
sawa kumbe we ni mlaghai kiasi hichi nadate nawewe najua ni binti mbichi,nyonyo saa sita,shepu imara kama mlima Kilimanjaro kumbe mshangazi!! nimeghafirika ukileta hizo talaka zako nakuua nazo sitaki kukuona kabisa....🤣🤣
 
Unadate na ghost?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…