Ndoa kiroho ni tendo la ndoa. Wote ulioshiriki nao ndio wake au waume zako

Sio kweli, nakataa, nabisha na napingana na Mleta nada.

Mkuu, sio Kwa Nia mbaya ila ni Kwa Nia njema.

Ndoa ni Kwa yule ambaye mlikubaliana kwamba utamuoa na Yeye akaitika Kwa Kinywa chake, mkuu ulimwengu wa roho unafanya kazi Kwa Maagano au maneno, na kama unabisha hata kama ulikubaliana na huyo mtu na hukufanya nae mapenzi, HUYO NI MKEO AU MUMEO.

Tazama, Kanisani ama Msikitini ama Kwa Mwanasheria mnaenda kuapishwa na kusaini na hakuna tendo la ndoa pale!

Ni Nini? Ni Maagano, makubaliano...

Sasa unaweza kwenda Kanisani kumbe hapo kabla, ulishakubaliana na mtu kwamba utamuoa/atakuoa yule uliyekubaliana nae ndo mume/mke hayo mengine ni UZINZI na UASHERATI.
 
Asante kwa kupingana na kubishana kwa nia nyeupe.

Isaka alipotaka kuoa, hakukubaliana na Rebeca, aliyekubaliana naye ni Eliezer houseboy wa Ibra baba yake isaka, hoja yako nzuri ila inapwaya.

Msingi wangu, alichokiunganisha Mungu mwanadamu asijitenganishe.

Kinachounganisha ni tendo la ndoa. Labda kama abakwe.
 
Kama ni sawa kuna watu wana wake zaidi ya 1000...
 
Safi sana.
 
sasa kwa me aliye toa bikira 20 wale wote wamfate ndo mme wao ama
 
Sio kweli unaongea very unpracticable issues. Usiwazuge watu
 
Mkuu mbona kama unaakili sumbufu sana. Nyie ndio huwa tunawatimua kanisani bila sababu.
narudia mwanaume aliye toa bikira 20 mke wake ni yupi
utanambia yule aliye toa bikra yake me kwa mara ya kwanza

aya wale k 20 waliotolewa na jamaa nao wakitaka mme wanaenda kwa nan
 
tuloanza na 3some mke anakuwa yupi!?au wa kwanza kupelekea ukuni.
 
Nisaidie mtumishi,mwanamke nilolala nae mimi bikra yake alitolewa na mtu mwingine...je huyu mwanamke mume wake ni yupi kiroho?
wale wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume wengine,nao wana ndoa kiroho?
 
Basi nishaoa sana bila kutoa mahari kwa baba wakwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…