Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Natumia browser nimeidownload kabisaUnatumia app au browser...?
It's a video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumia browser nimeidownload kabisaUnatumia app au browser...?
It's a video
Asante kwa kupingana na kubishana kwa nia nyeupe.Sio kweli, nakataa, nabisha na napingana na Mleta nada.
Mkuu, sio Kwa Nia mbaya ila ni Kwa Nia njema.
Ndoa ni Kwa yule ambaye mlikubaliana kwamba utamuoa na Yeye akaitika Kwa Kinywa chake, mkuu ulimwengu wa roho unafanya kazi Kwa Maagano au maneno, na kama unabisha hata kama ulikubaliana na huyo mtu na hukufanya nae mapenzi, HUYO NI MKEO AU MUMEO.
Tazama, Kanisani ama Msikitini ama Kwa Mwanasheria mnaenda kuapishwa na kusaini na hakuna tendo la ndoa pale!
Ni Nini? Ni Maagano, makubaliano...
Sasa unaweza kwenda Kanisani kumbe hapo kabla, ulishakubaliana na mtu kwamba utamuoa/atakuoa yule uliyekubaliana nae ndo mume/mke hayo mengine ni UZINZI na UASHERATI.
Dah ubaya sana ngono sio kabisaNyie ndo mtarambishwa transformer kwanza halafu ndio adhabu nyengine ziendelee huko motoni..😂
Safi sana.Asante kwa kupingana na kubishana kwa nia nyeupe.
Isaka alipotaka kuoa, hakukubaliana na Rebeca, aliyekubaliana naye ni Eliezer houseboy wa Ibra baba yake isaka, hoja yako nzuri ila inapwaya.
Msingi wangu, alichokiunganisha Mungu mwanadamu asijitenganishe.
Kinachounganisha ni tendo la ndoa. Labda kama abakwe.
Mkuu mbona kama unaakili sumbufu sana. Nyie ndio huwa tunawatimua kanisani bila sababu.sasa kwa me aliye toa bikira 20 wale wote wamfate ndo mme wao ama
Sio kweli unaongea very unpracticable issues. Usiwazuge watuKiroho sio Kisheria.
Mwenyezi Mungu alisema wamekuwa mwili mmoja. Mnapokuwa tupu, alafu sehemu za siri zimeingiliana ndio tafsiri ya mwili mmoja hiyo.
Hivyo watu wengi wana wake na waume rundo kiroho huku wakiwa na mke au mume mmoja kisheria.
Cha kufanya, mtafute yule aliyekutoa ubikra wako wa kike au wakiume, kisha mwambie Mwenyezi Mungu avunje ndoa zako hizo zote zilizobaki.
Yule ndio mume au mke wako halali wa ndoa kiroho waliofuata hapo hata kama umefunga ndoa kisheria au kikanisa ni michepuko.
Fanyia kazi hii itakusaidia.
Ni hilo tu.
narudia mwanaume aliye toa bikira 20 mke wake ni yupiMkuu mbona kama unaakili sumbufu sana. Nyie ndio huwa tunawatimua kanisani bila sababu.