Ila sio ndoa hiiAll the best Ndoa ni nusu ya dini!!!
Kwanini mkuu, ndoa ni ndoa cha muhimu ubani na shekhe.Ila sio ndoa hii
Mi drama...?!Ila sio ndoa hii
Hello!!
Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali
Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga Ndoa rasmi nyumbani kwa mke wake mtarajiwa.
Kaa karibu nasi kushuhudia matukio yote kupitia YouTube channel yetu ya Dozen Selection
Pacha wa didaDula Kila mwaka anaoa hii itakuwa ya 3
Unavyoona Kila mtu anajitafuta no money, no marriage, no kids, no future. Hii ni mitandao uchague vya kuandika Kila mtu na priorities zake.Vijana changanyeni mambo. Mnaoenda sana vitu vya watu badala ya kujipanga kimaisha hawa madada kama huna kitu wanakukimbia🤔. Jipangeni na kupigania maendeleo msije kubaki kushabikia tu wake za watu
Ngoja Kwanza huyu dada si aliwahi kuigiza kwenye siri za familia? Kama ni yeye inamaana aliachanaga na mume wake Abdul[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
UMEKUWA Mwijaku nae anajifanya wa Kazuramimba.View attachment 2619350