Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliokoaje jahazi?
Thanks Mwakaboko kwa ufafanuzi zaidi, mimi sikuiona Bungeni lakini kwa haya niliyoyasikia pamoja na kukusoma hapo kwa kweli Mheshimiwa Zitto anastahili heshima ya taifa.
- People hivi karibuni nilipata bahati ya kuongea na Kiongozi mmoja Mkuu sana wa Serikali ya sasa. Tulikuwa tunajadili ishu ya Mahakama ya Kadhi.
- Mkuu akanielezea jinsi maajabu makubwa yaliyotokea Bungeni ishu ilpolepelekwa, I mean for the first time Wabunge wakawa hawana Vyama na very emotional anasema upande mmoja kulikuwa na Missanga na Mundhihir na the CUFs na huku kuna Mwakyembe na wengine!
- Anasema ilikuwa ni Mh. Zitto bila kujali Dini yake, aliyeokoa jahazi, kwa kweli kwa hilo Mungu akuzidishie sana Mheshimiwa na you have my respect.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
Le Baharia William @..New York City, USA

Bado post hazieleweki.Aliokoa jahazi kwa sababu ilikuwa ni ishu ambayo ingetugawa taifa kwa misingi isiyofaa na kutuvurugia amani, Umoja, na Mshikamano wetu wa Taifa tulioachiwa na Mwalimu, Baba wa Taifa letu Mungu amsitiri.
- So Mheshimiwa Zitto, anastahili our respect yaani Taifa na hasa sisi Wananchi na I hope Historia ya Taifa hili itamhukumu fairly on his heroic act, but he has My outmost RESPECT! - Le Baharia Mutuz!
Mh sana W. Malecela, asante kupost jambo hili. Japo umelipost lakini kuna mafumbo ambayo hata aliyeingiza nyama kny hajalifumbua. Ungesema huyo mkubwa mliyekutana naye alisema nini juu ya zito na kile Zitto alichosema kupinga hoja ili Zitto apate heshima zake hata kutoka kwangu kwani mimi ni mmoja ninayepinga jambo hilo kwa nguvu zangu bali sikuwahi kusoma au kusikia aliyosema ZittoAliokoa jahazi kwa sababu ilikuwa ni ishu ambayo ingetugawa taifa kwa misingi isiyofaa na kutuvurugia amani, Umoja, na Mshikamano wetu wa Taifa tulioachiwa na Mwalimu, Baba wa Taifa letu Mungu amsitiri.
- So Mheshimiwa Zitto, anastahili our respect yaani Taifa na hasa sisi Wananchi na I hope Historia ya Taifa hili itamhukumu fairly on his heroic act, but he has My outmost RESPECT! - Le Baharia Mutuz!
- People hivi karibuni nilipata bahati ya kuongea na Kiongozi mmoja Mkuu sana wa Serikali ya sasa. Tulikuwa tunajadili ishu ya Mahakama ya Kadhi.
- Mkuu akanielezea jinsi maajabu makubwa yaliyotokea Bungeni ishu ilpolepelekwa, I mean for the first time Wabunge wakawa hawana Vyama na very emotional anasema upande mmoja kulikuwa na Missanga na Mundhihir na the CUFs na huku kuna Mwakyembe na wengine!
- Anasema ilikuwa ni Mh. Zitto bila kujali Dini yake, aliyeokoa jahazi, kwa kweli kwa hilo Mungu akuzidishie sana Mheshimiwa na you have my respect.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
Le Baharia William @..New York City, USA
...mkuu niambie unaenda wapi nkufuate coz ata mimi naona huyo mbwiga katuletea mapanki tu...
There are currently 56 users browsing this thread. (23 members and 33 guests)
- Sigma, Mungi, ndevu mzazi, Straatkasyambe, Balantanda, Mzee Mwanakijiji, https://www.jamiiforums.com/members/w-j-malecela.htmlW. J. Malecela, Teacher1, MESTOD, Losomich, Mama ibu, Hendisamu, kingxvi, masoudmwevi, Mr Suggestion, gambagumu, Haika, muonamambo, Consigliere, Mufiyakicheko, Nding'oli, nngu007