Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Baharia unampongezaje Zitto wakati Cigwiyemisi anaipigia chapuo? Cigwiyemisi si ndo Jumanne ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona bado yupo labda yuko jikoni anakaanga nyama.
Ngoja tusubiri,
tunoe na meno
[/LIST]
Bold Nyeusi: Hebu fafanua zaidi muktadha wa hiyo haki.
Nimejaribu sana kudodosa kuhusu hii MoU inayojadiliwa, bahati mbaya sijapata nakala yake.Nilichopata kutokana na kauli ile ya Mh.Rais ni kama vile waislam nao hawajakatazwa kusaini MoU na Serkali.Sasa kama milango iko wazi, kwanini hatutumii hiyo fursa na badala yake tunalumbana tu?
Binafsi ninavyoona, hatujachelewa.Tujaribu na kama tutaona hatusikilizwi na Serikali basi tudai "haki" hiyo kwa nguvu zote. Kwani ni ajabu serikali kusaini MoU na taasis nje ya serikali? Nadhani tunge explore options zote ndipo tudai support kwa lazima.
Bold Nyekundu: Mbona unanikwaza ? Nikidhani madai ya mahakama ya Kadhi ni kusudi tukamilishe ibada. Toka mwanzo nimekuwa nauliza " moral legitimacy " ya kudai mahakama ya kadhi na baadhi ya wachangiaji ( eg Topical na wengine) wakajibu ni kusudi kukamilisha matakwa ya Sharia.Sasa kama tutakuwa hatujali vyanzo halali vya mapato au mafungu ya kuanzisha nadhani tunakosa uhalali ule wa mwanzo.Tukichukua njia hiyo, tutadhihirisha hakika kwamba nia ya kuanzisha hivi vyombo ni "kukomoana" na siyo ibada.Tutakuwa tuna defeat argument yetu ya mwanzo.Nadhani lets stick to arguments zetu za "uhalali".Tusichanganye MoU for social services,ambazo zinaruhusu kuhudumia watu wa imani zote na establishment ya vyombo purely vya waislam.
MgungaMiba,
..kuna thread ambapo nilitoa wazo kama lako, kwamba Waislamu waanzishe mahakama ya Kadhi halafu waandikishe MOU na serikali ili iweze kupata funds za kuiendesha.
..sasa kuna wachangiaji Waislamu walipingana na hoja hiyo wakidai kwamba ni lazima mahakama ya KADHI itumbukizwe ktk KATIBA ili hukumu zake ziweze kuwa enforced na DOLA.
..ukitumbukiza mahakama ya Kadhi ktk katiba basi hata wasio wa Islamu wanakuwa na mamlaka ktk kuamua utendaji kazi wa mahakama hiyo. ukizingatia kwamba Waislamu wanadai mahakama hiyo ni sehemu ya IBADA nadhani suala hilo linaweza kutuletea mtafaruku mbele ya safari.
- People hivi karibuni nilipata bahati ya kuongea na Kiongozi mmoja Mkuu sana wa Serikali ya sasa. Tulikuwa tunajadili ishu ya Mahakama ya Kadhi.
- Mkuu akanielezea jinsi maajabu makubwa yaliyotokea Bungeni ishu ilpolepelekwa, I mean for the first time Wabunge wakawa hawana Vyama na very emotional anasema upande mmoja kulikuwa na Missanga na Mundhihir na the CUFs na huku kuna Mwakyembe na wengine!
- Anasema ilikuwa ni Mh. Zitto bila kujali Dini yake, aliyeokoa jahazi, kwa kweli kwa hilo Mungu akuzidishie sana Mheshimiwa na you have my respect.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
Le Baharia William @..New York City, USA
alichofanya Zitto ilikuwa ku play 'smart politics' tu
yeye ana ndoto za kuwa 'Rais' hapo baadae
asingeweza kuunga mkono wala kupinga jambo linalowagawa watu
while yeye anataka wote wamuone 'anafaa' kwa kuongoza....
Zitto hakusema anapinga wala kuunga mkono.....
alifanya siasa na kujiweka pazuri na leo mmeanza kumsifia....imelipa naona..
alietia aibu kuliko wote alikuwa Mwakyembe.....kwa mwalimu wa sheria kuongea utumbo aliongea ilikuwa aibu sana
alichofanya Zitto ilikuwa ku play 'smart politics' tu
yeye ana ndoto za kuwa 'Rais' hapo baadae
asingeweza kuunga mkono wala kupinga jambo linalowagawa watu
while yeye anataka wote wamuone 'anafaa' kwa kuongoza....
Zitto hakusema anapinga wala kuunga mkono.....
alifanya siasa na kujiweka pazuri na leo mmeanza kumsifia....imelipa naona..
Zittos haters yaani you cant help yourselves mko very emotional na blind damn!