Black Rose
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 243
- 171
- Thread starter
- #181
.ungeliiweka hoja yako vizuri basi tungelikujibu vizuri but ukiiweka katika mipasho inakuwa ngumu sana kupata jibu murua
Hii mada ina mwanzo mrefu huenda ndio maana ukaona ina mipasho
Kwanza nianze kujibu hoja kwa kukuomba ujue kuwa katika quran na fiqhi kuna kauli za uislamu na vile vile waislamu. Ukishaweza kutofautisha baina ya uislamu na waislamu ndio utaweza kujua kuwa uislamu haya yote unayobeza yana walakini. This is similar to dini zengine mfano ukristo kuna wakristo na ukristo ni vitu viwli vina mtazamo tofauti. Ukiwa unayazungumza haya kwa kuyatofautisha nafikiri utaweza kufahamu umuhimu wa mahakama ya kadhi.
Hii nimeshaizunguzia huko awali na haijaondoa hoja ya mahakama ya kadhi.
Tukirudi katika nafasi ya mwanamke uislamu umempa mwanamke nafasi kubwa sana mfano, usulul fiqhi inasema mwanamke hawezi kuolewa bila ya ridhaa yake. Na zipo hadithi mtume saw alikuwa akiwaambia maswahaba kuwa umeshapata ridhaa ya mwanao wa kike ndipo ndoa inafungwa. Mfano mwengine, mtume saw alikuwa anasema tumuangalie mama kwa jicho la huruma zaidi mara tatu ya baba yetu. Zaidi tukisoma tunaona kuwa mtoto wa kike akiachwa na mumewe basi anatakiwa kurudi atizamwe kama alivyokuwa mwari na wazazi wake na ikiwa wazazi wameshafariki basi mtoto wa kiume ndani ya familia jukumu linahamia kwake au wajomba na baba zake wadogo au wakubwa. Vile vile uislamu umemtukuza mwanamke kwa kumpa heshima yake kwa kuweka utaratibu wa mwanamke asiwe anatembea mtupu kama alivyozaliwa au akiwa hajavaa mavazi ya heshima. Mwisho kabisa uislamu umemtukuza mwanamke kwa kumshushia sura ya kwake peke yake nayo ni suratul mariam ambapo sura nzima alisifiwa mwanamke huyu kwa uchamungu wake na mmungu akituamrisha tumfuate.
Kumbe mbona tuko pamoja kwenye hili maana halina ubishi. Tatizo hii heshima kuna wanaoishusha kwa vitendo vyao
Now the issue ya mahakama ya kadhi ni utekelezaji wa sharia za kiislamu chini ya quran tukufu na sunna za mtume muhammad saw. Sheria ambazo waislamu tunazifuata naturaly kwani isingelikuwa hivyo basi tusingelijenga msikiti hata mmoja nchini. Likewise, sheria za kiislamu zimeundwa ili ziwahusu watu maalum ambao ni waislamu ambao waislamu hao wanafuata utaratibu fulani wa maisha. Sasa nini neno sheria kitaalamu ni taratibu zilizowekwa na watu wa jumuiya fulani kuweka na kudumisha amani na utulivu. Vile vile sheria zimewekwa tuwe watu wastaarabu. Bila ya sheria wanaadamu wangelikuwa wanyama fulani. Sasa mahakama ya kadhi ni moja ya vyanzo vya sheria na jamaa ya watanzania kubwa (according to cia muslims are the majority in tanzania with an estimated % of 36). Lakini inasikitisha juu ya wingi wao wamekosa mahakama yenye kuweza kutatua na kutekeleza mahitaji yao ya kisheria hasa katika mirathi na ndoa. Worse of them all waislamu ni walipaji kodi wa serikali yetu hii lakini wanakuwa hawapati huduma ya kisheria of which they are paying it for. Otherwise muwaambie hamuitaji kodi za waislamu.
NAAM!
Now coming to your point kuhusu waislamu i absolutely agree with what you are saying. But vile vile naelewa mantiki ya logic ya quran kuruhusu kwa mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ikiwa ni mtu muadilifu. Cases nyingi zimetokea wanawake kukimbia ndoa zao kisa wanashindwa kutimiza wajibu wao kama wake. Vile vile wanawake wengi wamekuwa ni watu tasa kwa bahati mbaya. Worse enough kuna aina za wanawake wengine wana matatizo ya kisaikolojia na tendo la ndoa huwafanya walichukie either kutokana na mila zetu potofu au nini? Sasa cases kama hizi shows mantiki ya kuoa mke zaidi ya mmoja. Kwani kama ni mtu muadilifu basi kwa uhakika atatimiza wajibu wake kote. Je kuna ubaya gani katika hilo???
NAAM!
Kuhusu matendo ya waislamu infidelity iko hata kwa wakristo tena sana. Mie niko safari huku niliko na mkristo mmoja anavamia hadi wachina, wafilipino, wazungu wakati ni mtu baba na watoto sita. Mzee huyu anaheshima zake lakini anamsaliti mkewe wa ndoa. Namshukuru mungu sijawahi kumsaliti mke wangu tangu nimuoe na wakati mwengine huwa niko nje ya nchi miezi 6 hadi 9. Je what do you explain about that? Narudia tena jua kutofautisha baina ya waislamu na uislamu.
TABIA HAINA DAWA
Auf bidahsein nilikuwapo!!!!!
tuko pamoja