Ndoa na Mirathi: Nafasi ya Mahakama ya Kadhi kwa Wanawake

Status
Not open for further replies.
tatizo la wengi humu JF, hawajui maana ya Ibada. Jielimisheni kwa mujibu wa dini zenu
maana ya IBADA. Kwanini mnataka kulazimisha serikali ihudhulie ibada ktk dini fulani na
isishiriki ibada ktk dini zingine. Serikali haina dini, hivyo haistahili kuwajibika kwenye dini
fulani. KAMA KWELI MUSLIMS wanaona mahakama ya kadhi ni IBADA kwao waanzishe tu
habari za kusema how are they going to enforce the law, hiyo ni habari nyingine kabisa
ina maana mungu wao hajatoa maelekezo namna ya kuinforce the law? usipotekeleza
maelekezo ya mungu, adhabu inajulikana, motoni tu, hapo tatizo nini?

kama kuna agenda nyingine imewapasa kusema, wawe wazi, kama ni kutafuta ajira serikalini
taratibu zinajulikana watapata lkn sio kwa hili
 
Britain has 85 Islamic Courts: Soma hapa Itatupa mwanga zimeanzishwa na nani na zinafanyaje kazi na zinawasaidia vipi wanawake wa Kiislamu na watu wengine ambao si Waislamu ambao wanatakiwa kunufaika nazo.

Mkuu huwezi kulinganisha jamii ndogo ya waislam wa britain na ubelgiji na waislamu wa Tanzania ambao about 50% or above of the total population. belgium kuna waisalm waislam wangapi??

Ninajua ona kwenye mjadala huu ni wivu, chuki na husda za wakristo wa Tanzania; no more kwasababu hakuna hoja zaidi ya financing scheme..tutafika iko siku..
 
unashangaza sana wakati qurani imebainisha kwamba Adui wa waislamu ni Wayahudi..,, Na walio karibu kwa urafiki ni wale wasemao sisi ni Wakristo. Au, Allah kadanganya tukuamini wewe topical? kwamba Wakristo ni maadui wa waislamu! Haya qurani inasema Wakristo ni wapole na wenye huruma. Hadith inasema mtawafuata hao Wakristo Shibrin shibrin dhirin dhirin hata shimoni na shimo hilo lina ng'e! kwa sababu ni wabora. Sasa rafiki yako anakushauri wewe unamuona ni adui! Ukaafir huo!

Malumbano ya dini si mahala pake..naomba ujielimishe zaidi dini siyo unakariri wale wahubiri wa kikristo wanaotafuata fedha
 
Sielewi hata moja, naona mwabishana tuuuu! Kwani hii mahakama ina umuhimu gani kwa taifa hili mpk kila kukicha tuijadili weee kuliko wenyewe wanavyoijadili msikitini?

Tena cha kushangaza waislamu wa hapa mtaani kwetu hawana hata habari ya uwepo wa ishu yenyewe na wanaiongelea kama ni jambo la watu fulani lisilowahusu. Haya, kesho ndio kesho. Kama kuna mwanaume na aandamane wkt Alhaji Kova kasema NO

Mahakama itakuwepo kwenye mjadala wa kitaifa leo, kesho hadi milele..

It is either we have it or we continue demanding.. aluta
 
tatizo la wengi humu JF, hawajui maana ya Ibada. Jielimisheni kwa mujibu wa dini zenu
maana ya IBADA. Kwanini mnataka kulazimisha serikali ihudhulie ibada ktk dini fulani na
isishiriki ibada ktk dini zingine. Serikali haina dini, hivyo haistahili kuwajibika kwenye dini
fulani. KAMA KWELI MUSLIMS wanaona mahakama ya kadhi ni IBADA kwao waanzishe tu
habari za kusema how are they going to enforce the law, hiyo ni habari nyingine kabisa
ina maana mungu wao hajatoa maelekezo namna ya kuinforce the law? usipotekeleza
maelekezo ya mungu, adhabu inajulikana, motoni tu, hapo tatizo nini?

kama kuna agenda nyingine imewapasa kusema, wawe wazi, kama ni kutafuta ajira serikalini
taratibu zinajulikana watapata lkn sio kwa hili

Uko gizani mkuu..jifunze zaidi
 
Mkuu huwezi kulinganisha jamii ndogo ya waislam wa britain na ubelgiji na waislamu wa Tanzania ambao about 50% or above of the total population. belgium kuna waisalm waislam wangapi??

Ninajua ona kwenye mjadala huu ni wivu, chuki na husda za wakristo wa Tanzania; no more kwasababu hakuna hoja zaidi ya financing scheme..tutafika iko siku..

Kwa hiyo waskuma sababu ni kabila kubwa tanzania kuliko kabila lingine na kwa kuwa uskumani kuna dhahabu almasi, pamba, ziwa victoria basi kabila la wasukuma linatakiwa ipewe kipaumbele kuliko kabila la wazaramu , wadigo, wasambaa, nk.

Kikatiba na kisheria hakuna kitu kama jamii ndogo. Katiba inawatambua wabarbaig kama ambavyo invywatambua wasukuma na wazaramu. Jaji au hakimu hawezu kuhukumu osa fulani kwa kuzingatia ukubwa au udogo wa jamii fulani ya mshtai i au mshtakiwa

Nchi haiendeshwei hivyo unavyotaka ionekane. Unachokosea ni kutaka kuhalalsiha kitu kwa kufuta kigezo cha makundi na mbaya zaidi wewe kwako kundi ni dini tu. Tanzania kuna demographic zaidi ya dini.

Kuna jinsia, umri, makabila mikoa. Wewe unaweza kuwa mwanaharakatii wa dini unaangalia mahakama ya Kadh ya usialam. Mama ananilyea nkya wa TAMWA anaweza kuja anataka mahakama ya Wanawake. Chief Mirambo anaweza kuja kudai mahaahama yake. Hawa wte wanaharaati wanawza kuwa wana sababu za msigi lakini serikali Makini inaaamua kiicho bora kwa Taifa na state.

Sheria ya kutambua mahakama za dini ipo itumieni. Hiki mnachotaka hakiwezekani kikatiba

Au Unaonaje Tanzania a tufanye kama Nigeria.. Hizi mahakamaa zianzishwe kwenye Mikoa yenye waislam wengi. Enhe maana kama unaangalia takwimuu za jamii ndogo na kubwa hii inaweza kuwa na mshiko.
 
Mkuu huwezi kulinganisha jamii ndogo ya waislam wa britain na ubelgiji na waislamu wa Tanzania ambao about 50% or above of the total population. belgium kuna waisalm waislam wangapi??

Ninajua ona kwenye mjadala huu ni wivu, chuki na husda za wakristo wa Tanzania; no more kwasababu hakuna hoja zaidi ya financing scheme..tutafika iko siku..

Sijaelewa hapa - uwepo wa mahakama ya kadhi unategemea wingi wa Waislamu au uwepo wa Waislamu? Maana kama ni suala la ibada sidhani kama idadi ni hoja. Tena tunaweza kusema kuwa kama kwenye Waislamu wachache kama UK na Ubelgiji wameweza kuanzisha mahakama za kadhi, kwanini kwenye Waislamu wengi kama Tanzania Waislamu hao wasiweze kuanzisha mahakama hizo? Kama wachache wanaweza kuanzisha na kuendesha mahakama za kadhi kwanini wengi wasiweze au hata kujaribu? it defies logic.
 
zinatakiwa kutambulika kikatiba otherwise haina maana..ya kuwepo
 
katiba na kisheria hakuna kitu kama jamii ndogo. Katiba inawatambua wabarbaig kama ambavyo invywatambua wasukuma na wazaramu. Jaji au hakimu hawezu kuhukumu osa fulani kwa kuzingatia ukubwa au udogo wa jamii fulani ya mshtai i au mshtakiwa

Nchi haiendeshwei hivyo unavyotaka ionekane. Unachokosea ni kutaka kuhalalsiha kitu kwa kufuta kigezo cha makundi na mbaya zaidi wewe kwako kundi ni dini tu. Tanzania kuna demographic zaidi ya dini.

Kuna jinsia, umri, makabila mikoa. Wewe unaweza kuwa mwanaharakatii wa dini unaangalia mahakama ya Kadh ya usialam. Mama ananilyea nkya wa TAMWA anaweza kuja anataka mahakama ya Wanawake. Chief Mirambo anaweza kuja kudai mahaahama yake. Hawa wte wanaharaati wanawza kuwa wana sababu za msigi lakini serikali Makini inaaamua kiicho bora kwa Taifa na state.

Sheria ya kutambua mahakama za dini ipo itumieni. Hiki mnachotaka hakiwezekani kikatiba

Au Unaonaje Tanzania a tufanye kama Nigeria.. Hizi mahakamaa zianzishwe kwenye Mikoa yenye waislam wengi. Enhe maana kama unaangalia takwimuu za jamii ndogo na kubwa hii inaweza kuwa na mshiko.

Unapindisha mada, kusiko
 
zinatakiwa kutambulika kikatiba otherwise haina maana..ya kuwepo

Ibara ya 19 ya Katiba yetu inatambua uwezekano wa kuwepo kwa kwa mahakama hizo hasa kwa vile kama inavyosemwa ni sehemu ya ibada. Hakikisha unasoma toleo la Katiba la 2008 ambalo lilikuwa na mabadiliko ya 14 ya Katiba ya 2005.
 
thread ilikuwa inakwenda vizuri.. huyu malecela @ new york kaja kuichafua... na kuanzisha thread ndani ya thread!
 
thread ilikuwa inakwenda vizuri.. Huyu malecela @ new york kaja kuichafua... Na kuanzisha thread ndani ya thread!

mhhh!
I am out of here.
Good luck na discussion njema.
 
Sijaelewa hapa - uwepo wa mahakama ya kadhi unategemea wingi wa Waislamu au uwepo wa Waislamu? Maana kama ni suala la ibada sidhani kama idadi ni hoja. Tena tunaweza kusema kuwa kama kwenye Waislamu wachache kama UK na Ubelgiji wameweza kuanzisha mahakama za kadhi, kwanini kwenye Waislamu wengi kama Tanzania Waislamu hao wasiweze kuanzisha mahakama hizo? Kama wachache wanaweza kuanzisha na kuendesha mahakama za kadhi kwanini wengi wasiweze au hata kujaribu? it defies logic.

Mkuu, tatizo ni baadhi ya viongozi wa uislamu Tg, kushindwa kuwaelimisha waumini wao kufuata maadili ya kiislamu na njia ya Allah! Hivyo basi wameigeukia serkali iwasaidie hiyo changamoto, ili iwasaidie kupanga namna ya kuabudu! Lakini wale waumini walioamini njia ya Allah! Wanaoana, wanatalikiana, wanapeana mirathi.... Hakuna anaye wabughudhi!
 
Uko gizani mkuu..jifunze zaidi

Nimekuuliza mara nyingi tu! Je kwa mujibu wa qurani, hadithi, ima sunna! Inakubalika kwa kaafir kushirikishwa kwenye ibada ya Walioamini? Nakuomba unijibu hapo ili twende vizuri.
 
Mkuu huwezi kulinganisha jamii ndogo ya waislam wa britain na ubelgiji na waislamu wa Tanzania ambao about 50% or above of the total population. belgium kuna waisalm waislam wangapi??

Ninajua ona kwenye mjadala huu ni wivu, chuki na husda za wakristo wa Tanzania; no more kwasababu hakuna hoja zaidi ya financing scheme..tutafika iko siku..

Indeed tutafika tu kwa hoja maana hawana hoja wanabakia kuleta pumba tu nikiwauliza je mahakama ya kadhi inavunja kipengele gani cha katiba jibu hawana zaidi ya kudai eti katiba inasema serikali haina dini. Wanasahau mihimili ya nchi ni mahakama, bunge na serikali pamoja na vyombo vya usalama. Sasa kama mnakuja na madai kuwa mahakama ya kadhi ni dini Waislamu watahoji sheria za Tanzania zinafuata dini gani? Pesa wanazopewa makanisa kutoka serikalini (ambapo wanachukua pia kodi zetu waislamu ) wanapewa kwa vigezo vipi? Mwisho kabisa iko wapi haki ya kikatiba ya mtanzania mwislamu kupewa huduma ya kisheria nchini kwake? Kivumbi kizito!!!!!!
 
Hivi aliyekwambia kwamba waislamu ni more than 50% ya population ya Tanzania ni nani? Halafu kwa nini hupendi ku-face facts kila saa wewe ni wa kusema unachukiwa unachukiwa. Huo ni mtindio wa kuona kuwa kila asiyekupa unachodai basi ana chuki na wewe na huoni kwamba huna haki ya kupata.

Kama umechelewa umechelewa tu ndugu yangu, huwezi kuwahi kwa kuwarudisha nyuma waliotangulia. Kuna maswali ya msingi humu yameulizwa na Mgen naomba uyajibu sio kurudia rudia. Na hizi OK OK ni dalili za kuwa unapenda kuwalazimisha watu waamini vile unavyoamini wewe. Nyinyi wenyewe kwa wenyewe tu mnatofautiana ktk hili. Kama unachohitaji ni haki ya kuwa hakimu, nenda kasome. Hii ya kupitia kwenye dini kwa kuwa unajua huko elimu siyo ishu haina nafasi
 
Hamtafika sema mtanung'unika maisha yenu yote. Ukimchukua mtu yeyote mgeni kabisa hapa Tanzania, ukamueleza kuhusu Mou: Madhumuni na muundo wa huduma za afya na elimu, halafu ukamueleza tena kuhusu proposal ya Kadhi Courts, madhumuni na muundo nakuhakikishia lzm atakuona mjinga.

Nikurekebishe kwa kuwa mna ugumu wa kuelewa: Fedha za ruzuku hazitolewi kwa MAKANISA (mbona mnakuwa wagumu kuelewa jambo dogo). Fedha za ruzuku zinatolewa kwa Taasisi za Huduma zinazomilikiwa na makanisa. Na si zote, bali ni zile zilizoteuliwa na serikali kuchukua jukumu la kuhudia jamii kwa muongozo wa serikali. Kama ishu ndogo hivi inakuwa ngumu kueleweka basi hautakuja kubadili maisha kwa kutumia ubongo wako mwenyewe, unless yatokee mamiujiza.
 
Nasema hivi TUTAFIKA!!! Kama una upeo mdogo wa elimu ya biashara nakushauri ukasome UDSM, IFM au Mzumbe utajua kwanini nasema kuwa MOU ni pesa zinaenda makanisani. Kuna msemo mmoja unasema Never argue with a fool because people may not notice the difference. Unakufaa sana wewe msemo huo.
 
Hivi aliyekwambia kwamba waislamu ni more than 50% ya population ya Tanzania ni nani? Halafu kwa nini hupendi ku-face facts kila saa wewe ni wa kusema unachukiwa unachukiwa. Huo ni mtindio wa kuona kuwa kila asiyekupa unachodai basi ana chuki na wewe na huoni kwamba huna haki ya kupata.

Kama umechelewa umechelewa tu ndugu yangu, huwezi kuwahi kwa kuwarudisha nyuma waliotangulia. Kuna maswali ya msingi humu yameulizwa na Mgen naomba uyajibu sio kurudia rudia. Na hizi OK OK ni dalili za kuwa unapenda kuwalazimisha watu waamini vile unavyoamini wewe. Nyinyi wenyewe kwa wenyewe tu mnatofautiana ktk hili. Kama unachohitaji ni haki ya kuwa hakimu, nenda kasome. Hii ya kupitia kwenye dini kwa kuwa unajua huko elimu siyo ishu haina nafasi

Mkuu, hiki anachodai kuhusu mahakama ya qadi anajificha tu! Chuki yake kubwa ni MOU! Na ufumbuzi wa hilo, kama anaona kuna sheria ya nchi imekiukwa! si aende mahakamani? Kuliko kuleta fitna!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom