Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

NYAQ

Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
85
Reaction score
264
Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani.

Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.

1657266422220.png
 
Mzalau fanya yako kama haumjui,yaaani hata ukiona nguo zako chafu zimekuwa nyingi fua mwenyewe yaani ishi kama upo peke yako vilee, ukifanya hivi hata cku akilala nje hautaumia na cku akikuacha utakuwa ushazoea lkn pia hata ikiamua kumuacha haitakuumiza sanaaa
 
Asante sana kaka, bonge la wazo... nimehaso nae sana, saiv mambo yangu yaneenda mrama ananiona mzigo

Siku nikitoboa tena hakuna rangi ataacha ona Qumamaq
 
Ndio mkomeee kutanguliza hela mbele afu nyie mnajibanza nyuma ya hela… sasa siku zikipukutika ndio mtajua rangi halisi..

Hela iwepo muhimu,, ila mji control kwenye kuifanya imvutie mtu. Maana siku ukitetereka ni hamna rangi utaacha ona.

Acha mtu akupende wewe na materials zako zingine sio pesa.
Hizo materials zinajumuisha wewe binafsi, mapenzi yako, urafiki wenu, sense of humor and the like.
 
Hahaha, nacheka ila i know ina-pain kwa kiasi gan, I can feel it maana iliwahi nitokea hiyo, Ila hiyo me naonaga ni Mungu tu, huwa akiona mtu hana nia nzuri kwako na wewe ni innocent basi anakuonesha kwa matendo, Sometimes unapitishwa kwenye umasikini ili ujue nani wa kunywa nae na nani uvute nae kiko.... Usiposikia jiandane na Magonjwa,Jela au Kifo.... I'm out

22yrs old.
 
Kisasi ni juu ya Mungu usipange kumlipiza kwa kuwa anakudharau kwa sasa ..Ila pesa kkitu kingine hata wanawake wanakutana nna hii kitu japo si kwa ukubwa kama wanaume..mwqnaume anawezaa kupenda ukiwa na kazi akijua kuna unafuu flan anaupata ila once mambo yanapoenda mrama unaanza kuona mambo yanabadilika hakushirikish mipango wala matumizi ya pesa zake akijitahidi sana mahitaji ya familia ila ww jobless utajijua kwa matumizi yako binafsi ama waliokuwa wakikutegemea wakati ukiwa na kazi yako.Ni mtihan kwa kweli pole
 
Ndio mkomeee kutanguliza hela mbele afu nyie mnajibanza nyuma ya hela… sasa siku zikipukutika ndio mtajua rangi halisi..

Hela iwepo muhimu,, ila mji control kwenye kuifanya imvutie mtu. Maana siku ukitetereka ni hamna rangi utaacha ona.

Acha mtu akupende wewe na materials zako zingine sio pesa.
Hizo materials zinajumuisha wewe binafsi, mapenzi yako, urafiki wenu, sense of humor and the like.
Hahahaha...

Sweetheart umeongea kwa uchungu sana, kwema lakini?
 
Hahaha, nacheka ila i know ina-pain kwa kiasi gan, I can feel it maana iliwahi nitokea hiyo, Ila hiyo me naonaga ni Mungu tu, huwa akiona mtu hana nia nzuri kwako na wewe ni innocent basi anakuonesha kwa matendo, Sometimes unapitishwa kwenye umasikini ili ujue nani wa kunywa nae na nani uvute nae kiko.... Usiposikia jiandane na Magonjwa,Jela au Kifo.... I'm out

22yrs old.
Acheni kumsingizia Mungu 😁😁
 
Mkiwa kwenye uchumba si mabaharia mnatuona kama manyani , yakiharbika mnakuja kulia lia humu , ukiona yamekushinda Sana piga chini fanya harakat zingine utapata mwingine karbu kwenye kijiwe cha mabaharia....!! Popote kambi
 
Back
Top Bottom