Ndoa ni Ibada

Ni kweli kbs,
Nina mifano mingi kbs.

Pia ndoa ni ya Mke mmoja tu,

Bi wadogo ni uharibifu tu.
Mkuu mifano ipo Sana yani hii kitu ni noma sana. Na inaumiza sana.
 
Babu zangu, baba zangu wameishi kwenye ndoa mpaka vifo vimewatenganisha, mimi ndoa yangu chali miaka mitano tu. Hii laana unayosema ni ipi? Ndoa za siku hizi hamna cha sijui wazazi waliachana etc. Havina mahusiano kabisa na ndoa za wazazi wetu.
 
Mkuu mifano ipo Sana yani hii kitu ni noma sana. Na inaumiza sana.
Mke mmoja kwa dini yako, wengine wako hata wa 3 na ndoa zao zinadumu, wengine mmoja ndoa chali baada ya wiki au miezi.
 
Babu zangu, baba zangu wameishi kwenye ndoa mpaka vifo vimewatenganisha, mimi ndoa yangu chali miaka mitano tu. Hii laana unayosema ni ipi? Ndoa za siku hizi hamna cha sijui wazazi waliachana etc. Havina mahusiano kabisa na ndoa za wazazi wetu.
Sio kwamba wewe ndio umeachwa mkuu...?

Unaweza kusema umeacha kumbe ilikuwa njia ya yeye kukuacha. Chunguza hilo.
 
Sio kwamba wewe ndio umeachwa mkuu...?

Unaweza kusema umeacha kumbe ilikuwa njia ya yeye kukuacha. Chunguza hilo.
Mimi ndie nilimuacha , mpaka sasa anasema mimi bado ni mke wake ilihali talaka ilishatotoa toka 2017.
 
Hata kulea manatee ibadaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…