Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nakubaliana na wewe kabisa,,,tusiichukulie laana kirahisi tuBabu zangu, baba zangu wameishi kwenye ndoa mpaka vifo vimewatenganisha, mimi ndoa yangu chali miaka mitano tu. Hii laana unayosema ni ipi? Ndoa za siku hizi hamna cha sijui wazazi waliachana etc. Havina mahusiano kabisa na ndoa za wazazi wetu.
Binafsi mpaka leo mama na baba bado wapo ndoani,,,lkn mimi ndoa ilidumu seven years na nilikuwa na sababu za kusitisha ndoa
Kwahiyo tusitishane kuhusu laana
Ila nakubaliana na wewe kuwa ndoa ni ibada kwakuwa ni tendo au jambo linalo mfurahisha Mungu