Ndoa ni Ibada

Ndoa ni Ibada

Babu zangu, baba zangu wameishi kwenye ndoa mpaka vifo vimewatenganisha, mimi ndoa yangu chali miaka mitano tu. Hii laana unayosema ni ipi? Ndoa za siku hizi hamna cha sijui wazazi waliachana etc. Havina mahusiano kabisa na ndoa za wazazi wetu.
Nakubaliana na wewe kabisa,,,tusiichukulie laana kirahisi tu

Binafsi mpaka leo mama na baba bado wapo ndoani,,,lkn mimi ndoa ilidumu seven years na nilikuwa na sababu za kusitisha ndoa

Kwahiyo tusitishane kuhusu laana
Ila nakubaliana na wewe kuwa ndoa ni ibada kwakuwa ni tendo au jambo linalo mfurahisha Mungu
 
Nakusikitikia sababu unaenda kumuacha na huyo.

Pole sana,usisahau kuleta mrejesho hapa.
Niluache kwa sababu gani? Kuna mambo ambayo ni lazima ujitenge nayo ikiwa yanahatarisha maisha yako. We live once, na hakuna replacement ya maisha yako.
 
Back
Top Bottom