Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nakubaliana na wewe kabisa,,,tusiichukulie laana kirahisi tuBabu zangu, baba zangu wameishi kwenye ndoa mpaka vifo vimewatenganisha, mimi ndoa yangu chali miaka mitano tu. Hii laana unayosema ni ipi? Ndoa za siku hizi hamna cha sijui wazazi waliachana etc. Havina mahusiano kabisa na ndoa za wazazi wetu.
Ndoa sio jela ila watu wanaifanya kuwa jelaIt's that true ya nini sitaki kusikia ndoa ya mateso mimi
Nina mpenzi, sijaolewa tenaUmeolewa tena?
NAKAZIAKataa ndoa.
Niluache kwa sababu gani? Kuna mambo ambayo ni lazima ujitenge nayo ikiwa yanahatarisha maisha yako. We live once, na hakuna replacement ya maisha yako.Nakusikitikia sababu unaenda kumuacha na huyo.
Pole sana,usisahau kuleta mrejesho hapa.
Nyie ndio huwa mnafikia hatua ya kuuana kisa mapenzi lohNakusikitikia sababu unaenda kumuacha na huyo.
Pole sana,usisahau kuleta mrejesho hapa.
hiyo ni kweli ndoa sio jela πNdoa sio jela ila watu wanaifanya kuwa jela
Kiapo kinawafanya wengi wafe kwa mambo ambayo yanaepukika.hiyo ni kweli ndoa sio jela π
yeah hiyo ni kweliKiapo kinawafanya wengi wafe kwa mambo ambayo yanaepukika.