Ooooh! Wengine wanapretend mpaka unajiona umefika, kumbe moyo wake una yake mengine!
Ukifikia kuoa au kuolewa basi mshukuru Mungu, ukiolewa na wa kufanana nae mtukuze kabisa Mwenyezi Mungu!
Wadanganye kama wataolewa Tuko hapa
Yaan uje kwangu et kazi yako iwe ni kutoa K na kunipigisha stories , ndan kuchafu?? Kila kitu hakipo sawa???
Alafu hapo utegemee ukitaka kuondoka nikupe Pesa????.....
Daahhh maaamake.
KWA TAARIFA YENU, NA HILI MLIJUEE NA MLIWEKE VICHWANI VYENU......
***SISI WANAUME TUNATAFASIRI KUJALIWA, KUHESHIMIWA, KUFULIWA, KUPIKIWA NA VITU VYA IVO KUA NDIO UPENDO YAAN HAPO UNAMUONA HUYU NI MWANAMKE ANAYEKUPENDA SANAAA ANAFAA KUWEKWA NDANI CHAP***.
nakupa mfano mimi mwenyewe ... Niliwahi date na Dada mmoja Mmarangu mweupe peeee, makalio makubwaaaa. Hips zimekimbianaaa, pisi kweliiiii yaaan ulikua ukipita naye ntaaan ni kelele tu za vijana ... ila ya ndani ilikua ni siri yangu.( kama unavyowashauri hapa).
Akilala saa nne usiku, kuamka ni saa tano asubuhi .... Alafu hapo hapo akitaka kuondoka unaona anavyohangaikia kukodoa macho Wallet ilipo... ( wamarangu na Pesa ni mtoto shikamoooo kwa Baba na mama)
One day nilimwambia Mama unakuaje. Mbona hivi??? Ohoooo hujanioaaa , oooohoo toa mahari kwanza .
Am a Hardliner in Nature , nilimwacha siku moja kwa ujumbe wa meseji tu bila mbwembwe.
NB.. Umeshaumbwa mwanamke na umeshayaanza Mapenzi acha mambo mengi, namengi yasiwe mambo, chukua nafasi yako kama mwanamke , kama HANA MPANGO wakukuoa basi haikua Ridhiki yako.
Pamoja na kuwa na mahusiano kadhaa huko nyuma lakini siku nimekutana na mke wangu moyo ukaniambia hapohapo kuwa huyu ndiye mkeo.
Nimewahi kuwa na uhusiano na dem ambaye ni mchumba wa mtu, huyu dem aliniambia hawezi kuolewa na huyo mchumba wake kwani moyo wake haujamkubali awe baba wa familia yake, baadae walikuja pigana chini.
Mimi nadhani hii tabia ya kumfanyia kazi nyingi mwanaune haina nguvu sana kupelekea ndoa bali inamhakikishia mwanaume kupata mzigo muda wowote anapoutaka.
Kwahiyo wanawake kabla ya kufanya hayo yote tathmini kwanza nguvu ya upendo iliyopo.
MABAHARIA TUMETOA SIRI.
Wadanganye kama wataolewa Tuko hapa
Yaan uje kwangu et kazi yako iwe ni kutoa K na kunipigisha stories , ndan kuchafu?? Kila kitu hakipo sawa???
Alafu hapo utegemee ukitaka kuondoka nikupe Pesa????.....
Daahhh maaamake.
KWA TAARIFA YENU, NA HILI MLIJUEE NA MLIWEKE VICHWANI VYENU......
***SISI WANAUME TUNATAFASIRI KUJALIWA, KUHESHIMIWA, KUFULIWA, KUPIKIWA NA VITU VYA IVO KUA NDIO UPENDO YAAN HAPO UNAMUONA HUYU NI MWANAMKE ANAYEKUPENDA SANAAA ANAFAA KUWEKWA NDANI CHAP***.
nakupa mfano mimi mwenyewe ... Niliwahi date na Dada mmoja Mmarangu mweupe peeee, makalio makubwaaaa. Hips zimekimbianaaa, pisi kweliiiii yaaan ulikua ukipita naye ntaaan ni kelele tu za vijana ... ila ya ndani ilikua ni siri yangu.( kama unavyowashauri hapa).
Akilala saa nne usiku, kuamka ni saa tano asubuhi .... Alafu hapo hapo akitaka kuondoka unaona anavyohangaikia kukodoa macho Wallet ilipo... ( wamarangu na Pesa ni mtoto shikamoooo kwa Baba na mama)
One day nilimwambia Mama unakuaje. Mbona hivi??? Ohoooo hujanioaaa , oooohoo toa mahari kwanza .
Am a Hardliner in Nature , nilimwacha siku moja kwa ujumbe wa meseji tu bila mbwembwe.
NB.. Umeshaumbwa mwanamke na umeshayaanza Mapenzi acha mambo mengi, namengi yasiwe mambo, chukua nafasi yako kama mwanamke , kama HANA MPANGO wakukuoa basi haikua Ridhiki yako.
Ningekua mimi Nisingekuoa.Sijawahi kupika au kufua... au sbb mahusiano yalikua mafupi [emoji23][emoji23].. tumejuana within 3 months then Ndoa sasa ni miaka 15 ila kama tumeowana juzi.... hao wa kufua na kupika wanakua na mahusiano ya miaka na Miaka eti anakuchunguza[emoji23][emoji23]....
Mkuuu Pesa na mwanamke havitenganishwi .Kweli huyo mwanamke kichwa ugali...kwa hiyo hela ina thamani kuliko papuchi yake hahaha wanawake bwana
Nani atakubali huo ushenzi. Yani the moment unasema mpo kwa mahusiano ya muda mfupi jua tu hutapata unachokitaka kabisa. Labda ukafanyie hako kamchezo Kimboka.Na ina funzo kubwa sana kwa wanaume.
Kama una mpenzi wako wa maisha umeamua kuwa na mwingine wa pembeni, basi, mwambie huyu wa pembeni kuwa mpo kwa ajili ya starehe ya muda mfupi, akikubaliana na hiyo hali ndipo mahusiano yaanzishwe.
Mkuuu Pesa na mwanamke havitenganishwi .
Kikubwa mwanamke apende pesa kwa mwanaume wake lkn atimize pia mshitaji ya mwanaume wake.
Kila siku nasema humu, haingii akilin mwanaume afanye hatua 99 et weeee umekaaa unangoja hata iyo 1 aimalizie.
Hao ni wanaume dizaini ya EX WA HAMIDA.
Wanaume tumeumbwa mateso kuangaika!!! Ushauri mzuri sana kwa wadada!!Kila mtu anapenda kufunga ndoa na kuwa na familia. Bahati mbaya kwetu wanawake ni mwanaume anaefanya maamuzi kuwa huyu ndiye ananifaa katika safari ya maisha. Hapa hakuna formular wengine watapenda binti mzuri, wengine wanapenda kwasababu ni kabila moja, wengine wanapenda msomi ni mambo mengi.
Unakuta dada amemuona mkaka na amempenda, anajiwekea kabisa huyu lazima anioe . Anaanza kumfulia nguo, kusafisha nyumba yake kumpigia. Ukiwa unafanya yote hayo pia angalia uhusiano wenu una afya gani. Usiwe wewe wa kufua na kupiga pasi wakati hata kwa marafiki zake hakutambulishi.
Basi kuna mmoja wakati amemaliza kupiga pasi nguo za ‘honey wake’ anaziweka kabatini alikutana na engagement ring. Akijua hii nitavalishwa mimi, acha ajiongeze kwa mwanaume Yule. Kumbe pete ile jamaa aliinunua amvishe mpenzi wake aliyepanga kumuo huko siku za badae. Pale alikuwa anapoteza muda tu akimsubiri mtarajiwa wake.
hapo ndipo ulipokoseaKila mtu anapenda kufunga ndoa
Nani atakubali huo ushenzi. Yani the moment unasema mpo kwa mahusiano ya muda mfupi jua tu hutapata unachokitaka kabisa. Labda ukafanyie hako kamchezo Kimboka.
Kwanini uishi sehemu chafu? Kwanini usifanye usafi nyumbani kwako?. Wote mnatakiwa mjue kufanya usafi na muwe mnafanya usafi kwenye nyumba zenu. Na mwanamke wa kuoa hapimwi kwa vitu hivyo.
Niko tagged mkuuKama hutaki kuwapa wanawake matumaini ambayo hayapo ni bora uwe mwanachama wa badoo na tinder🤣🤣🤣🤣🤣
Niko tagged mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda atusaidieeee, alafu unakuta hata kanisani/ msikitini bado haendi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila anapimwa kwa tako refu na kucha bandia? Au sura nzuri nini? Una safari ndefu
Kwasababu nimesema hapimwi kwa kukufanyia house chores, haimaanishi nimesema anapimwa kwa hizo ulizoandika.Ila anapimwa kwa tako refu na kucha bandia? Au sura nzuri nini? Una safari ndefu
She is the best of both worlds !!!Hii ni nyepesi sana kuletwa na mtu wa heshima kama wewe.