ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Ningependa kuwakaribisha wadau wote wa JamiiForums kwa majawabu katika hili swali linalonitatiza kwa muda sasa.
SWALI:
Je, suala la mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika taifa letu, swala la ndoa [kuoa au kuolewa] huwa ni jambo la lazima kwake yeye kulitimiza?
Mfano wa nafasi hizo za uongozi ni mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, waziri, naibu waziri, makamu wa Rais, Spika, Rais n.k
Karibuni kwa majawabu yenu.