ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
- Thread starter
- #21
Duuuh! Kwa hiyo wasio na ndoa hawawezi kuwa viongozi hapa nchini ?Ndoa ni lazima kwa kiongozi yeyote anayetamani kukabidhiwa mamlaka ya nchi.
Haitoshi kutangaza tu kuwa una ndoa ukiwa madarakani, huku mwenza haonekani kuwa ubavuni, kufanya hivyo ni ulaghai unaopaswa kukemewa.
Kiongozi yeyote ni mshauri wa mambo yanayohusu ndoa na wanandoa!.. Kama hana ndoa,na hayaaishi maisha ya ndoa,... atawashauri nini wanandoa?... Vipi vyakula vya usiku? Anapata wapi lishe ya mahusiano Kama hana mwenza? Kwa nini alie chakula gizani tena vichochoroni?.....Nawaza tu! Ahaa!