Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

Tendo ni Lile lile.... Mkilifanya hamjaoana inakuwa 'mmeZINI' au mmefanya 'uasherati'...!

Mkilifanya mmeoana Linabadilika inakuwa 'tendo La ndoa' na takatifu. Na Wengine wanasema ni sawa na Ibada.

Ushauri: Vijana oaneni inaweza kusaidia kupunguza Watu wasio na maadili kama mashoga, wezi n.k
 
NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Kama hutaki kuzaa watoto na kuwafanya wawe watoto bora wenye malezi ya Baba na Mama. Basi kwako Ndoa sio lazima.

Ndoa sio ishu ya Sex pekee. Sex unaweza pata popote. Sex unaweza hata kulala na mnyama, au kununua midoli, kujichua au hata kununua Kahaba. Hizo zote ni Sex.
Lengo la Ndoa sio sex au ngono kama Watu wengi wenye upeo Mdogo wanavyofikiri. Ndio maana kwa wale ambao wapo ndoani watakubaliana na mimi kuwa tendo la ndoa linachukua asilimia 10% tuu ya maisha ya ndoa. Ingawaje ni moja ya nguzo muhimu katika ndoa.

Huwezi sema unakataa ndoa alafu muda huohuo unawatoto. Labda uwe mwehu. Mtoto anahitaji malezi ya Baba na Mama tena wanaoishi pamoja.
Baba pekee hana uwezo wa kumpa mtoto malezi Bora. Wala Mama pekee hana huo uwezo wa kumpa mtoto malezi Bora. Ila wote wawili nusu kwa nusu wanachangia malezi bora kwa watoto wao.

Mtoto kimwili anachukua vinasaba nusu kwa nusu kutoka kwa Baba na Mama.
Vivyohivyo kwenye ishu ya hisia, akili, na mambo ya kiroho.

Mtoto kukua pasipo malezi ya Wanandoa inampa nafasi kubwa ya kuwa kizazi cha mbwa au nyoka. Yaani anakuwa kama Mnyama fulani hivi.

Mtoto bila malezi ya Baba na Mama ni sawa na wananchi bila serikali. Yaani hapo muda wote ni fujo, uhalifu, vurugu, uasi, uovu, usalama unakuwa hafifu.

Ndoa, Baba na Mama ni serikali kwa ngazi ya familia. Sasa mtu anayekuambia Ndoa sio lazima alafu anataka watoto ujue kuna nati ya kichwa haijakaa vizuri.

Wewe kama Baba au Mama ambaye ni mtawala katika serikali yako ya familia ni wajibu wenu kuhangaika kujenga serikali yenu. Sio changamoto Kidogo unakimbia, unaacha familia bila utawala. Unategemea nini.

Hata serikali inapopata changamoto inapambana nazo. Wakitokea waasi au vurugu unatafuta namna ya kuzima.

Sasa mwanamke au mwanaume umechagua mwenyewe, hakuna aliyekulazimisha kuoa au kuolewa. Hakuna aliyekulazimisha kuanzia familia na kuingia ndoani.
Umepata watoto badala upambane kujenga familia na kizazi bora unaleta mambo ya kitoto.

Kama mkeo au mumeo anakusumbua, itabidi upambane hivyohivyo kuweka mambo sawa mpaka watoto wakue, wawe Watu wazima ndio uvunje hiyo serikali yako.

Ni kweli umalaya, ubinafsi unaumiza sana ndani ya familia. Lakini ukishakuwa na watoto, elewa watoto ni muhimu kuliko hayo mambo yenu ya umalaya na ubinafsi.
Mnaweza kuendelea kuishi mkiwa mmetengana kwa maslahi ya watoto. Mkisubiri wakue angalau umri wa kujitambua yaani Watu wazima.
Miaka 20 sio mingi kihivyo.
Maelezo haya ni kwa wale waliokosa bahati na kujikuta wamekosea kuoa au kuolewa na Watu wasio sahihi.

Sio unazalisha au kuzalishwa kama Mbwa. Yaani kila mtu na Baba au Mama yake. Hiyo haijakaa sawa.

Ikiwa imetokea huna namna nyingine na mmetengana iwe kwa Kifo, au kutalakiana. Ni vizuri uoe au kuolewa ili watoto wawe ndani ya ndoa. Au kumpeleka mtoto kwenye familia ambayo iko na ndoa imara.
Iwe ni Bibi na Babu., Kakaako ambaye ameoa, yaani wanandoa.

Ínashauriwa, hata siku ukiona unataka kufa au unaona hauna uwezekano wa kutoboa kiafya, watoto wako ni muhimu kuwakabidhi kwa ndugu yako au rafiki yako ambaye unajua kabisa ndoa yake iko imara. Maadili na malezi kwa mtoto ni muhimu kuliko maisha mazuri.

Acha Nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mademu mmekazana kufungua nyuzi za kubembeleza tuwaoe
MANINER MAMAYOR NA MPAKA MSEME
 
Tendo ni Lile lile.... Mkilifanya hamjaoana inakuwa 'mmeZINI' au mmefanya 'uasherati'...!

Mkilifanya mmeoana Linabadilika inakuwa 'tendo La ndoa' na takatifu. Na Wengine wanasema ni sawa na Ibada.

Ushauri: Vijana oaneni inaweza kusaidia kupunguza Watu wasio na maadili kama mashoga, wezi n.k

Ndoa sio lazima huko Kanisani au serikalini.
Ndoa ni makubaliano ya Watu wawili full stop.
Wazazi lazima washirikishwe.

Hakuna anayeweza kuwafungisha ndoa zaidi yenu ninyi wawili
 
NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Kama hutaki kuzaa watoto na kuwafanya wawe watoto bora wenye malezi ya Baba na Mama. Basi kwako Ndoa sio lazima.

Ndoa sio ishu ya Sex pekee. Sex unaweza pata popote. Sex unaweza hata kulala na mnyama, au kununua midoli, kujichua au hata kununua Kahaba. Hizo zote ni Sex.
Lengo la Ndoa sio sex au ngono kama Watu wengi wenye upeo Mdogo wanavyofikiri. Ndio maana kwa wale ambao wapo ndoani watakubaliana na mimi kuwa tendo la ndoa linachukua asilimia 10% tuu ya maisha ya ndoa. Ingawaje ni moja ya nguzo muhimu katika ndoa.

Huwezi sema unakataa ndoa alafu muda huohuo unawatoto. Labda uwe mwehu. Mtoto anahitaji malezi ya Baba na Mama tena wanaoishi pamoja.
Baba pekee hana uwezo wa kumpa mtoto malezi Bora. Wala Mama pekee hana huo uwezo wa kumpa mtoto malezi Bora. Ila wote wawili nusu kwa nusu wanachangia malezi bora kwa watoto wao.

Mtoto kimwili anachukua vinasaba nusu kwa nusu kutoka kwa Baba na Mama.
Vivyohivyo kwenye ishu ya hisia, akili, na mambo ya kiroho.

Mtoto kukua pasipo malezi ya Wanandoa inampa nafasi kubwa ya kuwa kizazi cha mbwa au nyoka. Yaani anakuwa kama Mnyama fulani hivi.

Mtoto bila malezi ya Baba na Mama ni sawa na wananchi bila serikali. Yaani hapo muda wote ni fujo, uhalifu, vurugu, uasi, uovu, usalama unakuwa hafifu.

Ndoa, Baba na Mama ni serikali kwa ngazi ya familia. Sasa mtu anayekuambia Ndoa sio lazima alafu anataka watoto ujue kuna nati ya kichwa haijakaa vizuri.

Wewe kama Baba au Mama ambaye ni mtawala katika serikali yako ya familia ni wajibu wenu kuhangaika kujenga serikali yenu. Sio changamoto Kidogo unakimbia, unaacha familia bila utawala. Unategemea nini.

Hata serikali inapopata changamoto inapambana nazo. Wakitokea waasi au vurugu unatafuta namna ya kuzima.

Sasa mwanamke au mwanaume umechagua mwenyewe, hakuna aliyekulazimisha kuoa au kuolewa. Hakuna aliyekulazimisha kuanzia familia na kuingia ndoani.
Umepata watoto badala upambane kujenga familia na kizazi bora unaleta mambo ya kitoto.

Kama mkeo au mumeo anakusumbua, itabidi upambane hivyohivyo kuweka mambo sawa mpaka watoto wakue, wawe Watu wazima ndio uvunje hiyo serikali yako.

Ni kweli umalaya, ubinafsi unaumiza sana ndani ya familia. Lakini ukishakuwa na watoto, elewa watoto ni muhimu kuliko hayo mambo yenu ya umalaya na ubinafsi.
Mnaweza kuendelea kuishi mkiwa mmetengana kwa maslahi ya watoto. Mkisubiri wakue angalau umri wa kujitambua yaani Watu wazima.
Miaka 20 sio mingi kihivyo.
Maelezo haya ni kwa wale waliokosa bahati na kujikuta wamekosea kuoa au kuolewa na Watu wasio sahihi.

Sio unazalisha au kuzalishwa kama Mbwa. Yaani kila mtu na Baba au Mama yake. Hiyo haijakaa sawa.

Ikiwa imetokea huna namna nyingine na mmetengana iwe kwa Kifo, au kutalakiana. Ni vizuri uoe au kuolewa ili watoto wawe ndani ya ndoa. Au kumpeleka mtoto kwenye familia ambayo iko na ndoa imara.
Iwe ni Bibi na Babu., Kakaako ambaye ameoa, yaani wanandoa.

Ínashauriwa, hata siku ukiona unataka kufa au unaona hauna uwezekano wa kutoboa kiafya, watoto wako ni muhimu kuwakabidhi kwa ndugu yako au rafiki yako ambaye unajua kabisa ndoa yake iko imara. Maadili na malezi kwa mtoto ni muhimu kuliko maisha mazuri.

Acha Nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mkuu nakupongeza kwa makala yako nzuri! Naunga mkono hoja.
 
Watoto wanahitaji mama ambaye hakuwa malaya ili walelewe katika misingi ya maadili bora

Kama mama yao alikuwa analiwa hovyohovyo kabla haujamuoa unategemea atawafundisha maadili

Hisia gani watazipata kutoka kwa malaya aliyegeuzwa mke?
Mkuu siyo kweli kabisa! Wapo wanawake waliokuwa Malaya, lakini walipoolewa walitulia kabisa katika ndoa zao!
Wengine wanakuwa malaya kutokana na shida na umasikini si kwamba walitaka!
Tujaribu kubadili mind set zetu kuhusiana na wanawake!
 
Unaoa mwanamke ambaye ameshatumika, kuna watu wamemla bure miaka na miaka. Kwa kifupi ni malaya

Ulivyo mjinga unafanya na sherehe kabisa ya harusi ukumbini ukila, kunywa, ukicheza na kumtambulisha malaya kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki uliowaalika ukumbini

Ulivyo mjinga kabla ya kuteketeza mamilioni ukumbini ulimlipia mahari kubwa na wazazi wake wakakukabidhi malaya? Kweli hii ni akili au matope?

Kabla ya harusi unamnunulia malaya wedding gown, viatu na gharama ya salon apendeze siku ya harusi. Wewe ni mwanamume mjinga

Unapanga mipango ya harusi na kuwachangisha wadau ili uoe mwanamke ambaye bado kuna watu wanamla free kabla ya ndoa na baada ya ndoa wataendelea kummega kisela

Kuna ile mibwege siku ya engagement inawavalisha pete wanawake used na kama haitoshi wanampigia magoti malaya na kusema "please with this ring my love I'm giving you my heart." Kweli malaya wa kumpigia magoti?

Kama umemkuta ameshatumika kwa nini upoteze mamilioni kwa ajili yake? Hebu wanaume tushtuke

Iko hivi nyie mliooa kwa gharama huyo mwanamke ulijisumbua na kupoteza pesa zako bure

Huyo mkeo ni malaya she's cheap ndio maana amelala na wanaume wengine bure au kwa gharama ndogo kabla yako na wahuni hawakutoa hayo mamilioni, tena wamemmega kwenye nyumba za wageni za kawaida sana

Wewe kwa ujinga na kiherehere chako eti umeenda kulipia honeymoon kwenye hotel kubwa. Una akili kweli?

If she slept with other men for free should be offered for free
Ukweli Mchungu mwanangu unakabia juu sana kama sadio kanute😅😅
 
Watoto wanahitaji mama ambaye hakuwa malaya ili walelewe katika misingi ya maadili bora

Kama mama yao alikuwa analiwa hovyohovyo kabla haujamuoa unategemea atawafundisha maadili

Hisia gani watazipata kutoka kwa malaya aliyegeuzwa mke?

Na kwanini uchague Mwanamke aliyekuwa analiwa liwa hovyo?
Usitake kuniambia hakuna wanawake wema. Huko ni kukufuru.
Ni sawa na wanawake wanaosema hakuna wanaume wanasiochepuka
 
Back
Top Bottom