Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

Tendo ni Lile lile.... Mkilifanya hamjaoana inakuwa 'mmeZINI' au mmefanya 'uasherati'...!

Mkilifanya mmeoana Linabadilika inakuwa 'tendo La ndoa' na takatifu. Na Wengine wanasema ni sawa na Ibada.

Ushauri: Vijana oaneni inaweza kusaidia kupunguza Watu wasio na maadili kama mashoga, wezi n.k
 
Mademu mmekazana kufungua nyuzi za kubembeleza tuwaoe
MANINER MAMAYOR NA MPAKA MSEME
 

Ndoa sio lazima huko Kanisani au serikalini.
Ndoa ni makubaliano ya Watu wawili full stop.
Wazazi lazima washirikishwe.

Hakuna anayeweza kuwafungisha ndoa zaidi yenu ninyi wawili
 
Mkuu nakupongeza kwa makala yako nzuri! Naunga mkono hoja.
 
Watoto wanahitaji mama ambaye hakuwa malaya ili walelewe katika misingi ya maadili bora

Kama mama yao alikuwa analiwa hovyohovyo kabla haujamuoa unategemea atawafundisha maadili

Hisia gani watazipata kutoka kwa malaya aliyegeuzwa mke?
Mkuu siyo kweli kabisa! Wapo wanawake waliokuwa Malaya, lakini walipoolewa walitulia kabisa katika ndoa zao!
Wengine wanakuwa malaya kutokana na shida na umasikini si kwamba walitaka!
Tujaribu kubadili mind set zetu kuhusiana na wanawake!
 
Ukweli Mchungu mwanangu unakabia juu sana kama sadio kanute😅😅
 
Watoto wanahitaji mama ambaye hakuwa malaya ili walelewe katika misingi ya maadili bora

Kama mama yao alikuwa analiwa hovyohovyo kabla haujamuoa unategemea atawafundisha maadili

Hisia gani watazipata kutoka kwa malaya aliyegeuzwa mke?

Na kwanini uchague Mwanamke aliyekuwa analiwa liwa hovyo?
Usitake kuniambia hakuna wanawake wema. Huko ni kukufuru.
Ni sawa na wanawake wanaosema hakuna wanaume wanasiochepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…