Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

Kuishi pamoja baina ya mwanamke na mwanaume wakishirikiana kihisia, kimwili, kiakili na kiroho ndio Ndoa.
Ndoa haijawahi kufungwa au kufunguliwa. Hizo ni mbinu za kisasa tuu za kudhibiti matapeli wasio waaminifu
 
weka namba upokee muamala. Andiko makini mno hili
 
Alafu baada ya muda huyo malayer anataka 50/50 kasoro pesa yake tuu.

Wanaume wengi ni wajinga sana
 
Hii mada umejitahidi, Ni kama vile umenizungumzia mimi mtupu.
 
Kwa akili hizi hutoboi.
 
Kuishi pamoja baina ya mwanamke na mwanaume wakishirikiana kihisia, kimwili, kiakili na kiroho ndio Ndoa.
Ndoa haijawahi kufungwa au kufunguliwa. Hizo ni mbinu za kisasa tuu za kudhibiti matapeli wasio waaminifu
Kushirikiana kiroho ndio kushirikiana vp huko mkuu?
 
Ndoa sio lazima huko Kanisani au serikalini.
Ndoa ni makubaliano ya Watu wawili full stop.
Wazazi lazima washirikishwe.

Hakuna anayeweza kuwafungisha ndoa zaidi yenu ninyi wawili
Kama ni hivyo basi humu hakuna kataa ndoa zaidi ya mwamba dronedrake anae jichukulia zake sheria mkononi.
 
Tukiachana na hadithi za kina yesu ,ukija kwenye jamii yetu, wanawake na wanaume wa sasa wote kwa pamoja tupo tofauti kabisa na zile jamii za mababu zetu walio tutangulia .
 
Tukiachana na hadithi za kina yesu ,ukija kwenye jamii yetu, wanawake na wanaume wa sasa wote kwa pamoja tupo tofauti kabisa na zile jamii za mababu zetu walio tutangulia .

Hakuna jambo jipya chini ya jua hasa linalohusu silika, hulka na tabia ya Viumbe.
Mambo ni yaleyale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…