Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

Naona usiku umepewa mbususu vizuri ukaamka na mhemko wa kuoa. Ndoa ipi unamaanisha, yale makaratasi, sherehe au gauni na suti?
 
Kuishi pamoja baina ya mwanamke na mwanaume wakishirikiana kihisia, kimwili, kiakili na kiroho ndio Ndoa.
Ndoa haijawahi kufungwa au kufunguliwa. Hizo ni mbinu za kisasa tuu za kudhibiti matapeli wasio waaminifu
Kwahiyo unataka kusema kwamba kuishi na mwanamke bila ya kufunga nae ndoa ya mashehe na mapadri ila tu unaishi nae kinyumba mmezaa watoto na watoto wanafurahia uwepo wenu pamoja na wazazi wa mwanamke wanafahamu kwamba unaishi nae.

Ni ndoa tayari hiyo?
 
Hiyo tayari kiongozi, zaidi ya hapo unataka mabalaa
 
Wanawake wengi hawa elewi hilo

Mkuu umenielewa vibaya pesa katika mapenzi ni lazima kuna ziile basic needs ila huyo kasema kipaumbele.
Umaskini na mapenzi ya kweli havikai pamoja kamwe , kwa nchi za wenzetu japo mambo ni mengi ila mapenzi ya kweli yapo kwa kiasi chake ,japo pia wahuni hawakosekani.
 
Hii najua hauwezi ipinga na ni asili kabisa mwanamke kuvutiwa na mwanaume anaejimudu , japo wazee wakausha damu watajaa sumu.
Ndio maana nakukubali sana unatemaga madini matupu πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…