Ndoa ni mpango wa mawanaume, ni fursa kwa mwanamke

Na mwenye kujua thamani ya ndoa ni mwanaume na sio mwanamke.. Kwa lugha ingine ndoa ni ya mwanaume
 
Nikwambie kitu my love, Unaweza kutana na mwanamke anaekuomba 5,000 au 10,000 ila ni mara 10 kwa siku. Na unaweza kutana na mwanamke anaekuomba laki moja ila ni mara 1 tu kwa miezi nane au mwaka.

Kuombwa hela sio shida shida ni character ya mtu amekuja kwenye maisha yako kufanya nini?

Wanaume tunataka mwanamke ambaye sio tu atatutegemea ila atatuachia nafasi yetu ya kuonyesha sisi ndio tuna final say katika uhusiano na ndio tunatoa uelekeo wa uhusiano unaenda direction ipi.

Kitendo cha mwanamke kukupangia pesa ya kumpa, zawadi ya kumpa, wapi umpeleke,mara ngapi na saa ngapi muonane inatutoa kwenye ramani haraka sana.

Huyu anaependa ngozi nyororo ni simply tu kuwa hajawa serious. Vitu kama ngozi mwanamke akila vizuri akipakaa mafuta mazuri anavipata haraka sana. Ila kumbadili tabia mtu ambaye amechagua kuwa nayo ndio mtihani ambao wanaume wengi hatuufanyi.
 
Article yako inataka mtu mwenye akili kusoma
 
Nilikuwa na jangiri moja kila wiki linataka 100K nikaona limenigeuza fursa....

Nikapata mmoja hajawahi niomba hata 100 mbovu hadi nikawa namuonea huruma
 
Nilikuwa na jangiri moja kila wiki linataka 100K nikaona limenigeuza fursa....

Nikapata mmoja hajawahi niomba hata 100 mbovu hadi nikawa namuonea huruma
Ungejiongeza uwe unampea mara moja moja,inaongeza mapenzi!
 
Fact ndio mana Wasabato hawavai Pete ni machukizo kwa YEHOVA
 
Hiyo ni NATURE,hata kwa wanyama ni wale madume yenye nguvu ndio yanapewa nafasi ya kupewa unyumba,tafuta pesa...
 
Hiyo ni NATURE,hata kwa wanyama ni wale madume yenye nguvu ndio yanapewa nafasi ya kupewa unyumba,tafuta pesa...
Yeap pesa ndio wanataka wala sio portal frame yako ndefu na kifua kipana...hawa viumbe wanaangalia maslahi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…