Ndoa ni mpango wa mawanaume, ni fursa kwa mwanamke

mnatuchanganya wanawake sasa,,hebu kuweni wakweli,ndoa mnataka au hamtaki!?
 
Jamaa nakuelewaga, hukwepeshi maneno.
 
Ndoa tunataka ila hatutaki ndoa na wapenda harusi/kitchen party na send-off party.
asante jibu zuri na la kueleweka,, lakini na sie wanaume wa kuoa tunawatoa wapi 😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…