Ndoa ni msingi muhimu na imara, je, ni yupi mwanaume sahihi

pamoja na hayo,
unaweza kusema wanaume hawajatulia na kila unae kutana nae anapendelea mambo yawe kama ulivyo eleza hapo juu,

Na kwasababu hiyo sasa,
chaguo la moyo wako unaweza ukalisubiri mpaka uzeeni na usilipate.

hakunaga alie mkamilifu hataufanyaje,
Na kuchagua sana ni kujichelewesha tu πŸ’
 
njoo PM, mie ni Kigogo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtaje tuu
 
Lamomy
Uduguu njoo hapaa, Da Marry anataka kumuumbua mbaba wa JF, Alienda na S10 yake ya zamaniii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Da Marry em mtaje huyo mbaba plz, mambo nayoyapenda mie hayaa. Lol.
 
Acha niendelee kutafuta mnywarwanda wa kunywa nyago kama mimi hawa wa shisha mimi simo. Kuna mdada yupo 39 hana mtoto ok kajitunza sana, hana boyfriend wote washamruka ok kataka awe alone, mshahara n more than 2m asante ananipa vilaki na kuninunulia nyago, kanunua uwanja kwa jina langu na mimi nnao 3 ambao ni wa kwanza ni mbongo wapili mkenya watatu mganda wa nne nataka mrwanda nimiliki east africa na wengne ndo bado wanaona wanaume ni wakuchagua. Haya shaur zenu ni kama vikojoleo vyenu ni ureniam cjui gold na tunajua kuwa vina visimi size ya pilipili. Tunzeni visimi soon kuna mwekezaji anakuja kwa ajili yenu. Sijataja mtu{
 
Mabinti mnasisitizwa na wazazi wenu mtafute wanaume wa maana,japo wanazunguka na kufichaficha ila wanamaanisha "Mwanaume mwenye hela " na wenye hela wenyewe wanalundo la wanawake wanawataka, so mara nyingi mabinti huishia kuchezewa.
 
Eti mtu anakutongoza leo mara anataka muonane badae then unakubali kuwa tutaonana ,sasa subiri akutajie ni wapi muonane, Mara lodge au gest,looooh yaani hata saa 24 hatujafika mara oooh ....
Nimeishia hapo maana hata kuku na bata ndio wanapokutania hapo wewe unataka mkakutane wapi Msikitini au Kanisani?
 
Lamomy
Uduguu njoo hapaa, Da Marry anataka kumuumbua mbaba wa JF, Alienda na S10 yake ya zamaniii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Da Marry em mtaje huyo mbaba plz, mambo nayoyapenda mie hayaa. Lol.
Umeshaanza Mtani. πŸ˜‚πŸ˜‚

Sio bure mnataka kumuua mbaba wa watu kwa puresha. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanaume sahihi kwa ajili ya kujenga msingi imara wa ndoa ni yule mwenye ukomavu wa kiakili, kihisia, kiroho, na anayewajibika kikamilifu. Ndoa yenye mafanikio haitegemei tu hisia za mapenzi, bali inahitaji sifa thabiti zinazohakikisha amani, usalama, na maendeleo ya familia.
 
Umri kusogea ndio sababu pekee ya wewe kuhitaji kuolewa? Nadhani kero ulizoziona Kwa wanaume zitabaki kuwa vile vile maana hakuna jipya chini ya jua.
 
Endelea na msimamo huo usije kuyumba ,ukishayumba tu basi unaenda kupotea...Mwanamme at first akimtongoza mwanamke lengo lake ni kwenda kula mzigo tu ,akishakula mzigo basi kuendelea kula hapo ni juhudi zako kama hauna juhudi basi anapotea kwenda kwa manzi mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…