Ndoa ni msingi muhimu na imara, je, ni yupi mwanaume sahihi

Lamomy
Uduguu njoo hapaa, Da Marry anataka kumuumbua mbaba wa JF, Alienda na S10 yake ya zamaniii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Da Marry em mtaje huyo mbaba plz, mambo nayoyapenda mie hayaa. Lol.
😹😹😹 Dikompoza anapenda sana kujiamulia mambo. Em amtaje mji uchangamke..!!
 
Sasa bila ndoa sii utaishia kuzini tuu
Kwani wewe mzabzab una tatizo na uzinzi? Comments zako tu zimejaa uzinzi mtupu. It's funny mnapokazana kuwanyooshea watu vidole huku hata ninyi mnazini mpaka mlioko kwenye ndoa 🀣🀣🀣. Na ni sababu hii mnaona haiwezekani mtu kukaa bila kuzini
 
Si kila Mwanaume anafaa kuwa Mume. Kuwa Mume kunahitaji kuwa na CV fulani nyeti na adimu kweli kweli.
Nazidi kuelewa kwa nini Mke wangu kila akiniangalia anapata hamu ya kunibusu!
Asante Yesu kwa Neema yako!
 
Hongera sana mkuu,
Ukipata mke mwema utajihisi unaishi peponi ila ukipata mke wa hovyo,Dunia utaiona ni kama tanuri la moto,

Hakuna maisha kama maisha ya amani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…