Ndoa ni msingi muhimu na imara, je, ni yupi mwanaume sahihi

Kwanza kumbuka kuwa ndoa ni kwa ajili ya binadamu na hakuna binadamu mkamilifu,hivyo mwanaume sahihi wa jumla jumla hayupo.Kila mwanamke ana sifa za mwanaume amtakaye
 
Mwanzoni umetiririka vizuri hapo kwenye kupondea simu,boxer,umeharibu!
 
Kwahiyo pesa ulirudisha sio ili usionekane cheap, au ndio uliopelekea kwenye matumizi yako
 

Ila Una siri za wanaume wengi sana wa JF. 😊😊😊😊

Hebu siku kunywa hata wine upate ujasiri wa kuwataja.
Maana kila siku ww ni kuwatishia na kuwaponda.

Au Labda umechukua vitu vyao alaf unawapa biti kuwa wakikugusa unawaweka kwa hewa. 😊😊😊😊

Anyway. Nimefurah kuona ww sio team kataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…