Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,819
- 3,295
achana na suala la gari langu kutoa moshi, kwani unanitaka mimi au unataka gari lisilo na moshi. kama umezaliwa kwenye familia yenye magari huwezi kuikosoa spacioNimezaliwa na kukulia familia yenye magari,hiyo Spacio yako ni gari gani,inatoa moshi kama nini,
Nipishe hukoooo ππ
Huna uwezo huo na lile gari uliazimaachana na suala la gari langu kutoa moshi, kwani unanitaka mimi au unataka gari lisilo na moshi. kama umezaliwa kwenye familia yenye magari huwezi kuikosoa spacio
halafu pole sana uwezo wa kununua gari kubwa zaidi ninao, nilitaka kupima uvumilivu wako tu
lakini wewe pia huna gari, mimi ni langu japo wewe unasema ni la kizamani. wewe hata hilo la kizamani hunaHuna uwezo huo na lile gari uliazima
Ya Yesu mwenyewehii logic ni ya wapi jameni
dah aisee so alisemaje vileYa Yesu mwenyewe