Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
Imagine sisi wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume kama kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk, na kitandani mnatufanyia Utumwa mkubwa sana, hamtupi haki yetu sawa.
Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho, big NO! Hata vitabu vya dini havijataja sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako.
Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa, yaani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa Kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.
NB: Mwanamke hata akicheat atatoa nje ataleta ndani, ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje. I hate these stupid men.