Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Imagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama, kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa.

Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho.BIG NO ata vitabu vya dini havija mention sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako...

Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa Yani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.

Nb: mwanamke ata akicheat atatoa nje ataleta ndani Ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje I hate this stupid men.
Sikia cute:

Punguza uzuz na zile drama za single mother pitia vzur biblia ndo utajua vzur kuwa kiumbe anae paswa kuwa mpole n mama na apaswi kuwa na hira wala ku kwestion mambo bali urekebisha palipo na makosa.

Shida ya african women ni wajuaji sana tena sana yan kias kwamba mnafikia kuforce mambo.
Ata ukimuuz uwez kumcalm down aka tulia kama mama myajenge yy anapanua pua na kusimamisha mishila ya shingo uku akipiga yowe niuweeee[emoji19]

Na necha ya maisha ipo iv
Mwananke akichit alet faida ila uwa analeta rahana kwenye kizaz chake kumbuka mwanamke una pokea na unatunza namaanisha unapozn nje ya ndoa unapokea mbegu ambay ile mbegu ni roho inayo ish kwako either ijiunde kuwa kitu kamili au iishi bila kujiunda sasa ikijiunda kumbuka umeleta dam syo kwenye famil yako uo n mkos na lazma utakuwa mtumwa wa ile roh iliyo ndan yako

Lakin mwanaume akitoka nje akoform roh nayo ikawa kiumbe anatengeneza ukoo ambao n one blood ata kama mama n tofaut lakin mziz n baba upo apo..

Kuelewa hili andko tuliza kichwa.
 
Imagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama, kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa.

Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho.BIG NO ata vitabu vya dini havija mention sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako...

Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa Yani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.

Nb: Mwanamke ata akicheat atatoa nje ataleta ndani Ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje I hate this stupid men.
Punguza makasiriko bhana aaaha!
 
🤣🤣🤣calm down,vuta kiti uketi then kunywa maji kidogo,then breath slowly in and out 🙏ndoa inakupa heshima kubwa sana katika jamii,ikumbatie kwa juhudi zote usiache ikuponyoke.
 
Imagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama, kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa.

Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho.BIG NO ata vitabu vya dini havija mention sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako...

Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa Yani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.

Nb: Mwanamke ata akicheat atatoa nje ataleta ndani Ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje I hate this stupid men.
Halafu bado anakudharau na kubeba magodoro ya nyumbani anapelekea hawara zake nje huko.Yaani wanaume!!!!Ukisema Eti una kelele.
 
Kumbe ndio maana hutongozwi, na sababu ya kutotongozwa ni sura ngumu na umbo lisilovutia wanaume.

Nasema hivyo kwa sababu feminist wengi wana sura za kishua sana.

Pisi kali hawanaga ujinga wa 50/50, wakati uzuri wao unawapa magari na majumba.

Kama una sura ya baba komaa kama mwanaume maana favour za kike hutapata, utapambana wewe sura ngumu kupigania haki lakini kamseleleko wanapata cute faces. Sababu kubwa ya hili ni kua watoa kamseleleko ni wanaume haohao.
 
Imagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama, kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa.

Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho.BIG NO ata vitabu vya dini havija mention sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako...

Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa Yani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.

Nb: Mwanamke ata akicheat atatoa nje ataleta ndani Ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje I hate this stupid men.
Duuu! Umeshaiquote hiyo kumbe. Haya endelea
 
Back
Top Bottom