Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Dada umeongea kwa uchungu sana[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Juzi alilalamika hatongozwi
Jana akatuchamba hatujui uchungu wa mume
Leo anakuja na kampeni ya kataa ndoa, sasa tumuelewe vipi sijui
Yaani hata hajielewi anataka Nini!
 
Kama wamechoka mbona hawaondoki wew jichanganye tu😀😀😀
 
Back
Top Bottom